simione mlemba🇹🇿

11.8K posts

simione mlemba🇹🇿 banner
simione mlemba🇹🇿

simione mlemba🇹🇿

@king_hemperion

🖕

Arusha T z Katılım Haziran 2021
1K Takip Edilen814 Takipçiler
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Mimi kukaa nyumba yanye choo cha ndani hapana, siwezi kulala na haja kubwa ndani. 🙌😁
Indonesia
21
11
83
2.6K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Hivi wana SIMBA wanajizima data au ndo kupuuzia Sion wakiijadili chenga ya star boy okello mbele ya top top defender wapo bize kujadili goli ambalo hata huku kwetu Tukuyu yanafungwa mengi tu na bora kuliko lile Huu ni ubinafsi wa wazi Aminin nawaambia
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
11
5
19
1.3K
Beast
Beast@emabilly2001·
Sijawai kuangalia season 1' ndani ya siku 1 hii 'Man on fire n season of the year 🔥 Ipe macho
Beast tweet media
Indonesia
11
7
158
7.2K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Walichokifanya Makolo kupeleka mechi kwenye kiwanja kibovu Yanga tuliwahi kujaribu hiyo mbinu zama za giza wakati tunacheza na Pyramids. Ndugu zetu wapo nyuma miaka zaidi ya 8
Indonesia
45
5
196
10K
simione mlemba🇹🇿
simione mlemba🇹🇿@king_hemperion·
@KenanJMligo Kama unaamini hilo basi hujui kuwa 80% ya maziwa tunaotumia yakiwekwa kwenye kipimo hayafai kwa matumizi
Indonesia
1
0
1
24
Kenan
Kenan@KenanJMligo·
Nadhan Chakula Pekee kilichobaki organic bila kuchakachuliwa ni Maziwa ya kukamuliwa tu.
Indonesia
37
5
248
17.3K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
Peter Msigwa tweet media
English
243
371
2.3K
86.1K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
𝐍𝐈𝐌𝐄𝐏𝐄𝐍𝐘𝐄𝐙𝐄𝐖𝐀 : James Temba alikua WINGA Kariakoo na pale IFM marafiki zake walimuonya aache kutapeli watu, kuna mtu (Apoli) alikua na ugomvi naye alimtapeli hela ya IPhone 17, walitafutana tangu Februari huenda jamaa kalipiza kisasi. @tanpol Namba ya Apolo ninayo
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
132
20
491
161.5K
amdully
amdully@amdully·
@godbless_lema @MsigwaPeter Mnapenda kula matapishi ndio mana hamuishi kuumizwa mnabaki kukimbia kimbia kama digidigi. Hamjui hata mnashambuliwa kutoka upande gani. Nilijua by now mtakua mmejifunza kitu lakini kenge hasikii mpaka damu zitoke masikioni.
Indonesia
2
0
5
643
simione mlemba🇹🇿 retweetledi
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Mabadiliko hayajengwi na watu wachache-yanajengwa na kila anayetoa alichonacho. Leo toa tone lako. Kesho tutajivunia nguvu yetu ya pamoja. #ToneTone
Suomi
20
108
480
11.6K
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Mnakataa Lissu Asifanye Maridhiano Na Ccm Mnasisitiza Akifanya Hivyo Atawasaliti. Nyie Kufanya Maridhiano Na Vunja Bei Kwenye Betting Ni Unyama😁 Amkeni Kutoka Usingizi Nyie Sio Misukule Acheni Kufata Mikumbo Nyie Watu Wazima. LISSU fanya maridhiano Uje uenjoy Dunia😁
Indonesia
18
14
125
3.1K
♟️
♟️@iamFallacy·
Nani anaweza kutrack namba ya simu wakali kuna mtu nna shida nae sana nakosa namna ya kukamatana nae.
Indonesia
12
23
284
25.7K
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Tumeona tangazo lenu CHADEMA kuwa kesho Mei 2,2026 mtakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari. Ni jambo jema kwani tuna imani mtatuletea mambo mema mliyojadili kwenye kikao chenu ya kuendelea kujenga amani ndani ya Taifa letu Tanzania na si vinginevyo. Tunasema ni jambo jema kuwasikia tena baada ya kujifungua kwenye kifungo chenu mlichojifunga wenyewe kwa kushitakiana wenyewe kwa wenyewe na mkawa mnatudanganya eti oh tunaonewa tumefungiwa. Mlionewaje wakati nyinyi wenyewe ndiyo mlishtakiana na mkawekeana mapingamizi?Tunawauliza mtujibu kuna mtu au mwanachama nje ya Chama chenu aliyewafungulia kesi mliyokuwa mnaendelea nayo mahakamani?Halafu kibaya sana baada ya kujifungia wenyewe kufanya shughuli zenu za chama anayejiita wakili msomi wa chama chenu, wakati mkiwa kwenye hicho kifungo mlichokitengeneza wenyewe siku moja akaibuka akawaambia watanzania na dunia nzima eti zuio mlilokuwa nalo la kutofafanya shughuli za kisiasa kisheria lilimalizika baada ya miezi sita kupita. Halafu asivyo kuwa na kumbukumbu baada ya mahakama kuwaruhusu kuendelea na shughuli za siasa akaibuka mbele ya vyombo vya habari na kusema leo CHADEMA imefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa.Waliomsikiliza mwanzoni aliposema zuio mlilokuwa nalo liliisha baada ya miezi na alichosema Aprili 15,2026 wanajiuliza huyu wakili msomi vipi au ndiyo maana ndani ya chama chao wakiongea lazima wafoke na mishipa ya uso iwatoke? Hata Makamu Mwenyekiti wenu Bara alitamka tumetoka kifungoni akaishia hapo badala ya kutueleza tumetoka kwenye kifungo tulichojifunga wenyewe. Sasa tunaomba tuwaambie,kesho hatutaki tena mtuongeleshe kwa sauti ya ukali,kutufokea na kutuletea ngonjera kwamba Chadema tutafanya maandamano nchi nzima.Fujo hatutaki tena tumeshaona hasara za hamasa kama hizo kuwa matokeo yake ni mwanzo wa vurugu na wananchi kuumia ili ionekane serikali imeshinndwa kulinda wananchi wake. Hatutaki mtuletee mambo eti hatuitambui ripoti ya Tume ya Uchunguzi.Kwanza mtaitambuaje wakati miaka yote mlikuwa mnatujengea chuki, uchonganishi kwa hotuba zenu za chuki na mikutano ya siri ya kupanga kuvuruga amani nchini.Mtaitambuaje wakati mnajifahamu ni wapangaji,waratibu,wafadhili na watekelezaji wa vurugu hapa nchini. Tunataka kesho mtuambie katika kikao chenu mmeamua kuwasimamisha na kuwakemea vijana wenu mliyowaandaa, mnaoendelea kuwapanga na kuwafadhili ili kutukana watu na viongozi ambao hawaungi mkono mambo yenu ya hovyo ya kuchochea na kuzusha fujo nchini. Tunataka pia kesho mtuambie fedha mnazo changiwa kwanini akaunti ipo nje ya nchi,kwa ajili gani au ni kwa ajili ya maslahi yenu binafsi kama ilivyokuwa kwa michango mingine mingi ya nyuma mliyochangiwa.Kama hamna kumbukumbu niwakumbushe moja ya michango ni kama ile ya mfanyabiashara wa Dar es Salaam aliyo wachangia kwa ajili ya kuchimbia wananchi visima vya maji làkini mkazila.Tutawasikiliza kesho kama mtakuja na mambo ya hovyo kama kawaida yenu yakutuweka roho juu Watanzania tutaanika michango mingine ambayo ilichangwa ikapotea kijumla mikononi mwenu na zile zilizotumika nusu lakini zingine hazina maelezo hadi leo. Tunawaambia tena, kesho hatutaki mtuletee mambo ya kutuweka roho juu na kuishi kwa wasiwasi kwa sababu tumeshaonja hasara ya kupoteza roho za ndugu zetu,kutusababishia majeraha na kupoteza mali na kwa hayo yote mnao mchango mkubwa sana na lawama hizo hamuwezi kuzikwepa na mnazifahamu vizuri sana ila mnajitoa ufahamu na kupambana kwa njia zote kutupia wengine lawama.Hata hicho kikao chenu kwa kiwango kikubwa majadiliano yalikuwa ni namna ya kuwatupia wengine lawama ndiyo maana wakati mwingine mlikuwa mnatoka kwenye kikao wachache na kwenda kunong'onezana na kurudi kwenye kikao kupanga mbinu hizo chafu.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
26
19
25
4.5K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hatuna mashaka Baba Bagonza; kwa sasa inanuka na kila anaejaribu kuotetea au kufafanua uongo iliyotoa ananuka zaidi.
joseph_selasini tweet media
Filipino
5
71
539
14.4K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Naomba ushauri wenu wakuu nimetumia dawa zote lakini hawa kunguni bado wananisumbua sana geto 🥹 nifanyaje ili waishe wote wakuu 🥲
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
243
44
312
55.2K
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Machalii wengi wanadhan James Mbowe ni mtoto wa Freeman, huyo ni mtoto wa mdogo wake freeman Machalii wa FAM hawan shobo na mzee wake hata 😂
Indonesia
15
28
605
31.1K