thehuman
618 posts


@kingofccl @mshambuliaji 😅😂😂 una uhakika Mojtaba hata ana miguu miwili sasa hivi?
Filipino

Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, limetangaza kuwa limekubali rasmi pendekezo la kusitisha mapigano kwa muda wa wiki mbili katika vita vinavyoendelea, hatua inayotazamwa kama nafasi ya kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia na kupunguza mvutano wa kijeshi katika eneo la Mashariki ya Kati.
Katika taarifa yake rasmi, Baraza hilo limesisitiza kuwa hatua hiyo haimaanishi mwisho wa vita, likieleza kwamba sitisho hilo ni la muda na lina lengo la kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani kuendelea.
“Inasisitizwa kwamba hii haimaanishi kumalizika kwa vita,”
imesema taarifa ya Baraza hilo.
Iran imeongeza kuwa vikosi vyake vya ulinzi bado viko tayari kujibu shambulio lolote kutoka kwa upande wa adui, ikisema kuwa “mikono yetu bado ipo kwenye kichochezi”, ishara kwamba nchi hiyo bado iko katika hali ya tahadhari ya juu ya kijeshi.
Hatua hii inafuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye alisema Marekani itasitisha mashambulizi dhidi ya Iran kwa muda wa siku 14, kwa masharti ya kufunguliwa kwa njia ya bahari ya Strait of Hormuz na kuendelea kwa mazungumzo ya amani.
Wachambuzi wa siasa za kimataifa wanasema hatua hii inaweza kuwa mwanzo wa makubaliano mapana ya amani, ingawa kauli ya Iran inaonyesha wazi kuwa hali bado ni tete na vita vinaweza kuendelea ikiwa mazungumzo hayatatoa suluhisho la kudumu.
#KitengeUpdates

Indonesia

@JPMassawe @mshambuliaji Lengo la mashoga ilikua kubadili utawala wa iran wameshindwa, iran wakafunga hormuz, marekani wakabadili Gia angani na lengo likawa kufungua hormuz, wakashindwa, wamechimba mikwara iran imewadindishia ,sasa utawala uko pale pale na hormuz itafunguliwa Ila kwa kulipia ,wamekubali.
Filipino

@kingofccl @mshambuliaji 😅😂😂😂😂🤣😂🤣😂😂 siyo Iran aliyekubali kusitisha vita ila ni Marekani ndiye kasitisha kumshambulia, jana Iran wangekiona cha moto: Iran amekubaliana na masharti ya Marekani siyo Marekani kukubaliana na masharti ya Iran. Yaani waislamu mnajitoaga uelewa kwa sababu ya dini.
Indonesia

@JPMassawe @mshambuliaji Haya ni masharti ya iran, masharti ya marekani ni yapi? Hayajulikani??? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Indonesia

@EJ_Mwita Lengo la mashoga ilikua kubadili utawala wa iran wameshindwa, iran wakafunga hormuz, marekani wakabadili Gia angani na lengo likawa kufungua hormuz, wakashindwa, wamechimba mikwara iran imewadindishia ,sasa utawala uko pale pale na hormuz itafunguliwa Ila kwa kulipia ,wamekubali.

Filipino

@Eric__Bernard Lengo la mashoga ilikua kubadili utawala wa iran wameshindwa, iran wakafunga hormuz, marekani wakabadili Gia angani na lengo likawa kufungua hormuz, wakashindwa, wamechimba mikwara iran imewadindishia ,sasa utawala uko pale pale na hormuz itafunguliwa Ila kwa kulipia ,wamekubali.

Filipino

@Nori_goal @Eric__Bernard Lengo la mashoga ilikua kubadili utawala wa iran wameshindwa, iran wakafunga hormuz, marekani wakabadili Gia angani na lengo likawa kufungua hormuz, wakashindwa, wamechimba mikwara iran imewadindishia ,sasa utawala uko pale pale na hormuz itafunguliwa Ila kwa kulipia ,wamekubali.
Filipino

@Eric__Bernard Wanapoaje na wakati wameshinda mana lengo lilikuwa kufungua mlango wa harmuz na wamefanikiwa 😁😁😁
Polski

@Nori_goal @Eric__Bernard Kumbe lengo lilikua sio kubadili utawala wa iran? Si lengo lilikua kuondoa utawala wa kiislam wa iran😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Indonesia

@siyagaenock1 @GeorgeLaizer6 @moudyswaggz @_zolendronic Basi na wao watupore kutumia mitandao yao kama vile ambavyo sisi tuna justification ya kuwapora mali zetubwalizochukua na wanatumia, sijui unaelewa muunga mkono wa mashoga??
Filipino

@TuzoLwila @hassanbsr211 @ayubu_madenge Kwahio tukitumia mtandao wao wanaacha kuwa mashoga? Cheki ulivo kuwa fala sasa😂
Filipino

@kingofccl @hassanbsr211 @ayubu_madenge Ulivyo huna akili hujui kuwa hata huu mtandao na simu unayoitumia niteknolojia yahao unao waita mashoga
Tafuta hela,umasikin ni mbaya
Indonesia

@siyagaenock1 @moudyswaggz @GeorgeLaizer6 @_zolendronic Nchi haitaki ushoga na usagaji lakini kanisa limebariki mashoga na wasagaji

Indonesia

@Jaydenkayden255 @HabiibYahyaa Umeandika hii kwa maumivu makali mno, pitia panadol dukan ikutulize kidogo na presha inaonekana ipo juu

Indonesia

@HabiibYahyaa Labda wachambuzi wa magomeni Mapipa...
Nchi kila siku inapigwa kila kiongozi Amekufa inafika muda hadi Mwenyekiti wa nyumba kumi anakuwa Kiongozi wa kuongoza nchi ila bado Mnaamini Iran kashinda...
Indonesia

@pastajoshuatz Machoka shida akili imehamia mkunduni mnapenda sana kufirwa kuliko kutumia akili hao wazungu watawachakaza vinyeo aisee
Indonesia

@Franc18637Amani @EsirEid Kwahio wale wanachuo wamefungwa minyororo waende darajani ili lisilipuliwe? Inaonesha ni jinsi gani vijana wa iran wapo pamoja na serikali yao

Filipino

#TajirLaKihaya
Mpango wa makombora wa Iran bado uko imara.
Serikali bado iko thabiti.
Vikwazo vinatarajiwa kuondolewa.
Iran itadhibiti Mlango wa Hormuz.
Mpango wake wa nyuklia uko salama.
Iran imeibuka mshindi.
Indonesia

@Excess300 Marekani ikaenda kuwatetea kwa kulipua shula ya watoto na kuwaua, acha ukuma wewe choko
Filipino

















