Cruiz KE
5 posts


Heri hivo sikubet hii slip. Nilikuwa nataka kuwekea
Leeds win
Fiorentina win
Levante win
Lakini nilikuwa na wasiwasi wa you can't win a slip back to back. Kesho nayo ni win.
Dant ➋@DantizerCFC
Tonight mnaona aje hapa before niwekelee hii slip? Mnipee your views please.
Filipino







