Sabitlenmiş Tweet
BANGALA
41.3K posts

BANGALA
@krisBangala
𝗢𝗻𝗰𝗲 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶, 𝗔𝗹𝘄𝗮𝘆𝘀 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2012
1.1K Takip Edilen7.8K Takipçiler
BANGALA retweetledi

@krisBangala Sema nyi jamaa huwa mnadeka sana aisee na bado 😁😁😁😁
Indonesia

@shila_sumalee Sina Uhakika Na Hilo Mkataba Kuwabana ila ni Jambo zuri sana Kwa Yanga Kua Na Radio na Tv yake ili Mashabiki Tupate Sehemu ya Kuongea Na Kuona Mambo Yetu wenyewe
Indonesia

@krisBangala Hii ilitakiwa iwe project ya mapema kwa sababu pia ingeingiza pesa nyingi sana ila nafikiri Mkataba na Azam unawabana
Indonesia
BANGALA retweetledi

@ShijaDenis Nilipoteza simu mbili ndani ya wiki mbili nikahisi na mkosi nazo nikaacha kuzitumia mapenzi yakaamia kwa samsung.
Indonesia

Yani Depu hakuna kazi kisa hajafunga game za 5imba na Azam??! Haya😹
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17
Ila Yanga sometimes 😀😀hakuna kazi hapa
Indonesia

Yeye asiwe na hofu sisi si kitu chochote 😎
FELIX JASON@Iamfelixtz
"Tukipoteza Dabi, gap la points litakuwa ni nane, kwa timu zilizobaki huyu bwana hawezi kudondosha alama zote nane. Ukimtegemea Azam atakuvua taulo ukweni asububi tu, ukimtegemea Singida huyo ndio shoga yake mkubwa, wanasimba twendeni tukapambanie alama tatu" 🎙️ Ahmed Ally
HT

@krisBangala Tunajua kwenye Ligi tunambutua ili tuchukue Ubingwa wetu kwa mara ya 5 mfululizo
Indonesia

@JosephMsusi Wakati Suala La Kupoteza tulijiandaa nalo toka muda tu
Indonesia

@krisBangala Wanajaribu kulazimisha yanga waumie au waanze kushamburia makocha na wachezaji lkn wao wamechagua sherehe tu
Indonesia
BANGALA retweetledi















