Lokasa ya mbongo
8.1K posts

Lokasa ya mbongo
@kumuchembe
Love don't cost a thing
Tanzania 🇹🇿 Katılım Eylül 2018
914 Takip Edilen545 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@George_Ambangil Wanalitaka kaka soon Tembo anavunja tawi alilokalia juu ya mkuyu.
Indonesia

Utabiri wangu wa #EPL leo
Aston Villa 2-1 Leeds ✅
Brentford 2-2 Brighton 🤝
Chelsea 3-1 Burnley✅
Westham 1-1 Bournemouth🤝
Manchester City 4-1 Newcastle ✅
English

@MkulimaKante Changanya na ndulele utaitwa majina yote matakatifu
Indonesia

@MkulimaKante Canada nimefika Matoronto uko ila apo kunakofanana baridi ndio mtihani 😆

@George_Ambangil Tumuachie Carick ataamua ila fikirieni nani atacheza na cobby
Indonesia


@masoudkipanya Ijayo serera linapita nao zitamwagika damu soon.
Filipino

@PresenterNoah Ili swala linamfukuzisha kazi ukichanganya na hawachukui epl.
Polski

@George_Ambangil Hivi wanajua kuna wawekezaji wanatia mizigo yao kweli?
Indonesia

@George_Ambangil @no_Icant_Let_Go Mchele audanganyi brother unafanya hata zubemend kiungo maharage Aeshimike.
Indonesia

@no_Icant_Let_Go Yes anahusika but wachezaji sio robot , wanatumia akili , mbona Rice hayupo hivyo ? Ni stupidity tu . Na kuukosea mpira heshima
Filipino

Wachezaji wanaanza time wasting dakika ya 80 kabisa unaongoza goal moja hili nalo sio la kocha? Whatever is happening anahisika 100% kabisa
George Ambangile@George_Ambangil
Najua kuna mashabiki " baadhi " watamlaumu Arteta ( yeah ni kocha ) but wakati Arsenal wapo mbele 2-1. wakaanza kuwa casual uwanjani as if wanaongoza tano Giving balls away cheaply, losing duels , trying tricks and flicks unnecessary, jogging . Huwezi kuukosea heshima mpira hivyo
Filipino

@George_Ambangil Kuanzia dakika 65 Arsenal ilitoka ikabaki battle ya wolves vs wolves.
Filipino

@mshambuliaji Piate mwampiate lakini bado haijamkuta yanga kwenye mporomoko huo.
Filipino

Klabu ya Simba Sc imeporomoka kutoka nafasi ya tano mpaka nafasi ya 8 kwenye viwango vya ubora wa vilabu barani Afrika ndani ya miaka mitano iliyopita vilivyotoka baada ya kutamatika kwa hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa msimu wa 2025/26.
Simba Sc ipo nafasi ya nane ikiwa na pointi 38 huku mahasimu wao, Young Africans Sc wakiwa nafasi ya 10 baada ya kukusanya pointi 35 kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Azam FC na Singida Black Stars wapo nafasi ya 35 kila mmoja akiwa na pointi 5.
1. 🇪🇬 Al Ahly - 66 pts
2. 🇿🇦 Sundowns - 58 pts
3. 🇹🇳 Esperance Tunis - 53 pts
4. 🇲🇦 RS Berkane - 52 pts
5. 🇪🇬 Pyramids - 48 pts
6. 🇸🇩 Al Hilal - 39 pts
7. 🇪🇬 Zamalek - 39 pts
𝟖. 🇹🇿 𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 - 𝟑𝟖 𝐩𝐭𝐬
9. 🇩🇿 USMA - 37 pts
𝟏𝟎. 🇹🇿 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 - 𝟑𝟓 𝐩𝐭𝐬
#KitengeSports

Indonesia














