Mimi huwa naogopa hii majamaa ya ushago sana. Jamaa anakula ugali ya muhogo alafu anaenda kulima shamba saa kumi na Moja asubuhi. Ukiamka 8 am unampata ni jasho tu inamtoka. Jamaa kama hii akishika bibi yako she will never be same. Na ujue...
Mimi nayo hauwezi nishtua na ati police will shoot me I have lived fairly a beautiful life , I cant stay indoors My eulogy iko sawa plus Tseikuru has many young brilliant young men, Kina Kitosh, kina Phillip, kina Mutati K, jim Ciengo, mimi kesho lazima nikue streets