Nicky

678 posts

Nicky banner
Nicky

Nicky

@leslie_levels

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2020
241 Takip Edilen42 Takipçiler
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@midreeed Moja ya kitu imenishinda kula😂😂
Indonesia
1
0
0
14
🐾
🐾@midreeed·
Ila supu ya Kongoro inahitaji moyo sana kula😅😅😅
Indonesia
35
7
87
8.1K
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@kaludghy Mtoto amekua msenge msenge uyu😂
Indonesia
1
0
0
18
Nicky
Nicky@leslie_levels·
May we marry right🙏🏾
Tulsi Gabbard 🌺@TulsiGabbard

I am deeply grateful for the trust President Trump placed in me and for the opportunity to lead @ODNIgov for the last year and a half. Unfortunately, I must submit my resignation, effective June 30, 2026. My husband, Abraham, has recently been diagnosed with an extremely rare form of bone cancer. He faces major challenges in the coming weeks and months. At this time, I must step away from public service to be by his side and fully support him through this battle.

English
0
0
1
12
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@mswahili___1 Anae hzo bebe anapost ni balaa😂😂
Filipino
0
0
0
39
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Kuna jamaa anajiita Franco House Of Fashion pale IG, hatari sana 🙌🏾🙌🏾
Suomi
12
34
326
22.4K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
See what m saying.
Lubasha Jr tweet mediaLubasha Jr tweet media
English
25
21
279
30.8K
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@_kingOFstreet Ata kama ni content ila hyo kofi hapana😂😂😂
Indonesia
0
0
2
39
M.B.G
M.B.G@_kingOFstreet·
Kumbe hiz ndoa ni ngumu jaman
Indonesia
6
11
126
6.1K
Nicky
Nicky@leslie_levels·
Dah kuna ile story ya mchina alieuwawa na walinzi kwenye kiwanda Kile, ukiskia wale wachina wenzake wanavyolalamika tena kwa kiswahili, inasikitisha sana, Jamaa wamemuua kisa 10million🥺🙌🏾
Indonesia
0
0
0
7
Nicky
Nicky@leslie_levels·
Consistency ya Kenyans wakiamua jambo lao must be studied aisee, These guys mmh🙌🏾
English
0
0
0
8
Nicky
Nicky@leslie_levels·
Umeiweka proper sana Hii master
Joshua Msuya@joshuamsuyatz

Investment ya mwisho Dangote kufanya Tanzania ilikua Kiwanda cha Cement Mtwara, $500 Million Investment. Kabla ya 2015, mfuko wa cement ulikua unauzwa kati ya 18,000 mpaka 19,000. 2016 Dangote alivyoanza uzalishaji Mtwara, cement ikashuka mpaka 9,000. Twiga na Tanga wakashusha bei kwa nguvu kupambana nae sokoni. Ndani ya muda mfupi Dangote alichukua zaidi ya 20% ya market share yao. Kumbuka, hiki kiwanda kilitengenezwa kutumia Natural Gas ya Tanzania iliyopo Mtwara. Lakini baada ya kuanza kazi, mambo hayakuenda kama yalivyotarajiwa. TPDC walimuuzia Gas kama consumer wa kawaida badala ya strategic industrial investor. Gharama za uendeshaji zikawa kubwa sana. Mwisho wa 2016 Dangote alikuwa anatumia karibu $4 Million kila mwezi kununua Diesel kuendesha kiwanda. Hii ilitokana na Serikali kuzuia uingizaji wa Coal kutoka nje na TPDC kushindwa kumpa deal nzuri ya Gas. Matokeo yake? Bei ya cement ikaanza kupanda tena mpaka 22,000 - 25,000 kwenye baadhi ya miji. Mpaka leo kiwanda bado kinaendelea kuzalisha cement, ila zaidi ya 70% ya cement inaenda nje ya Tanzania. Miaka 10 baadae, Stori kubwa ni Dangote anarudi East Africa na plan ya kujenga refinery kubwa Tanga au Mombasa. Refinery yenye uwezo wa kuzalisha mapipa 650,000 ya mafuta kwa siku. Swali ni… Je Dangote anataka kufufua nguvu ya viwanda vyake Tanzania kwa kupata mafuta kwa gharama nafuu zaidi? Au yupo kwenye mbio za kufikia ndoto yake ya kujenga utajiri mkubwa zaidi kabla ya kufa? Lakini kabla ya kumuongelea Dangote… Tujiulize hii investment ina maana gani kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida? Bei ya energy ikiathirika, kila kitu kinaathirika. Transport. Ujenzi. Bidhaa. Biashara. Maisha ya kila siku. Na kumbuka hii refinery ikipitishwa, inaweza kuchukua miaka 8–10 kukamilika. Kufikia 2036… Je utakua bado unaendesha gari la mafuta? Au utakua ushanunua gari la umeme tayari?

Slovenščina
1
0
0
21
Nicky retweetledi
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
❤️❤️ Happy Mother’s Day ❤️❤️ Appreciation to mothers everywhere who brought us all into the world and nurtured their beloved children 🥰
English
15.3K
45.5K
621.6K
69M
Nicky
Nicky@leslie_levels·
📍Western Cape
English
0
0
0
9
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@kajuna_alfred Nlikua na 1.1m saa 18 jioni, asa hv nna 500k, na sijagusa pombe kabisa🤣🤣
Eesti
0
0
0
53
Alfred Kajuna (S.T.A.R)
Alfred Kajuna (S.T.A.R)@kajuna_alfred·
Ka 1M sahivi kana tabia ya laki🙌
Morogoro, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
4
5
13
4.2K
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@kaludghy Ndo intention🤣🤣🤣
English
1
0
0
12
🔴⚪️⚫️
🔴⚪️⚫️@kaludghy·
Mkeka wa wese umetoka? Nijue natembea au nawasha chuma 🌚
1
0
0
23
Nicky
Nicky@leslie_levels·
@kaludghy Unailisha nyasi na majani ya skanka, apo Arusha Dar uhakika🤣🤣🤣
Indonesia
1
0
0
13