555⚡🌟

43K posts

555⚡🌟 banner
555⚡🌟

555⚡🌟

@librabobby

A faith that hasn't been tested can't be trusted..

Katılım Kasım 2019
1.1K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
555⚡🌟
555⚡🌟@librabobby·
Maisha ni mafupi sana ndugu zangu unaweza kua na mtu sasa hv baada ya dakika kadhaa ukasikia kapata ajali na hayupo tena duniani naomba tupendane tu chuki na uhasama sio kitu kwetu tuomyeshane kupendana ingali tu hai hatujui mda wa saa ya kuondoka duniani
Indonesia
11
9
31
0
555⚡🌟 retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Tunachoweza kama TAIFA ni; 1. KUTEKA wapinzani. 2. KUSHUGULIKA na CHADEMA. 3. KUSHUGULIKA na LISSU. 4.POLISI kuuwa wananchi kwa kupiga risasi za VICHWA. Nchi imeoza kila kona.
SATIVA tweet media
Filipino
24
108
822
13.2K
555⚡🌟 retweetledi
SHALIPOPO 🦇
SHALIPOPO 🦇@jinnyX66·
Nasty C mpaka sasa hajapata mpinzani kwa rapper bora Africa damn ??!
Filipino
21
16
85
4.9K
555⚡🌟 retweetledi
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Kuna mwana kasema "Kaka nikifa Sportybet kuna mikeka yangu 7 huko hela utapeleka kwa familia" 😂
Taivina James tweet media
Indonesia
8
24
266
4K
555⚡🌟 retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
LUKUVI hatakiwi kupumzika kwa AMANI. Huyu ni moja kati ya binadamu WASHENZI waliowahi kutokea Tanzania. Ukienda jimboni kwake ISIMANI alikodumu kwa Miaka 30+ kama MBUNGE na vyeo mbali mbali vikubwa serikalini ndio utanielewa. Aliligeuza JIMBO LA ISIMANI na watu wa ISIMANI kama ngazi yake ya kujitwalia madaraka makubwa nchini. Hakuna la maana alilowafanyia wana isimani miaka 30+. Aliwahi kusema hata akiweka KOTI LAKE litashinda Ubunge dhidi ya mtu yeyote yule, ndiomaana hakuwajali watu wa ISIMANI. Amekuwa sehemu ya maamuzi ya kikatili sana ambayo yalituumiza watanzania kwa miaka mingi sana. Huyu ndie alieleta KODI YA NYUMBA kupitia Umeme wa luku hatutasahau. Huyu ndie alieongoza BUNGE HARAMU, Bunge la damu kutafuta SPIKA HARAMU na kujinadi na wabunge wenzie haramu kusifia yaliyofanyika oktoba 29. Kwa uzoefu wake serikalini miaka 30+ hakuwahi kukemea hata siku moja uovu waliofanyiwa watanzania na DIKTETA JIKE.. Huyu ni mzee mshenzi tuu ambae alijali TUMBO LAKE na familia yake tuu ila hakuwa na msaada wowote kwa taifa. Wakati watanzania bado tupo msibani hatujui ndugu zetu walipo, familia ya LUKUVI inatakiwa kushukuru Mungu wao watazika MAITI ya ndugu yao. Hawa wakina LUKUVI wako wengi sana, na wataisha wote na kila atakapo dondoka mmoja hiyo ni sherehe ya KITAIFA. TUTAKUWEPO🫵😎
SATIVA tweet media
Indonesia
39
151
1.1K
44.9K
555⚡🌟
555⚡🌟@librabobby·
@ByCardoJason Sijasikiza hiyo nyimbo 😅😅😅Ngoja nikasikilize sababu hii
Indonesia
1
0
0
33
555⚡🌟 retweetledi
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Bien alikalisha Mondi,Marioo na Harmonize mbaya kwenye featuring finale kaja kujichanganya kwa King Kiba.😁 King alimpa melody kwa ile bridge na baadae Kiba akatumia hiyo hiyo bridge kwa kubadili lyrics with the same melody kumuua Bien. Kiba ni Extraordinary .🙌🏿🙌🏿🐐🐐
Filipino
36
77
869
42.2K
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
🚨MOST INFLUENTIAL RAPPERS OF ALL TIME... My Top10 👇🏽 01👉🏽Tupac Shakur 02👉🏽The Notorious B.I.G. 03👉🏽Jay-Z 04👉🏽Eminem 05👉🏽Kanye West 06👉🏽Nas 07👉🏽Rakim 08👉🏽Lil wayne 09👉🏽Andre 3000 10👉🏽Kendrick Lamar let's see your list 🫵🏾
Dullah_theKing🎧 tweet media
English
98
41
174
11.8K
555⚡🌟
555⚡🌟@librabobby·
@DullahTheking2 Niko kwenye ukuu wa Wayne 🤣🤣🤣alinifanya nifatilie Sana hip hop ya marekani
Indonesia
0
0
1
12
555⚡🌟 retweetledi
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Guyz guzy guyz guyyyyyyyyyyyyyyyyyzzzz Repost bila kuchoka 😂
BeLINDA tweet media
English
9
44
228
4.5K
555⚡🌟 retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Game ya brazil na france naona kabisa GG ni hela ya Bure. Ukimchukua na ITALY game nzima ukaomba over 1.5 hizo ni odds 2+ naona kama za BURE wanangu.
Filipino
12
21
442
17K
555⚡🌟 retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Sportybet Tumempasua ODDS 163+ heshima nyingi kwa @prolific_88 . Watu zaidi ya 2K wameshinda huu mkeka. Na mikeka yetu NI BURE KABISA MAMAE—kazi ya mitaa ni kutuombea tuu. Burna boy yupo kukiwasha CHAKA TU CHAKA huko.😂
Indonesia
10
45
570
21.4K
555⚡🌟 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
KIWEWAKAAAAA, wa-Cuba wa Marekani nao leo wamejikusanya wanataka Trump akawaondolee dikteta wa nchi yao. Haki Trump kazi anayo mwaka huu, kila nchi yenye dikteta inalilia akawasaidie kuwaletea freedom. Na Trump atawafanyia maajabu wananchi wa Cuba. Ila kuna nchi zinajielewa, wanajua kujikusanya na kupiga kelele mpaka Trump anasikia kelele zao. Hapo tuseme wa Tz wa Marekani tujikusanye wengi ngumu tutatokea 20, kila mtu anaogopa atabebwa na ICE au sijui atapata shida akienda Tz. Ila waambie wajikusanye kwa sherehe za kipuuzi, hao kama wooote.
Emmanuel Rincón@EmmaRincon

🚨 BREAKING Cuban Americans tell President Trump: "Cuba next, Cuba next."

Indonesia
62
84
599
44.4K