Mliokuwa mnasema Mo sijui kafanyaje sijui Chama eleeleeleeee haya mnasikia huku washabiki wanamlalamikia kocha?
Mpira ni biashara oooh.. washabiki kazi yenu ni kufurahi na kuhuzunika na wachezaji wao wanalipwa mishahara ,club inapata heraaaa na mmiliki anapata faida
Hivyo yaani
The group wanted to win this Sport Pesa Cup but , despite leading the score , we failed to keep advantage due to a lack of agressivness , a slow defensive reconversion and a lack of accuracy in our offensive passes . Real fans , don't blame them,support your team ! Asante sana !
@OleMtetezi Sisi tukichukia jambo tunachukia tu hata sura alioumbiwa na mungu ,kisingi chuki ikiwa moyon inakulazimisha kutafuta dosari angalau ukosoe PhD yake kingereza chake ,sioni kama kuna hoja sana ya kukosoa , Kwa mfano tujifanye wajinga tuamini hana PhD alafu inaongezeka nini ?
Tundu Lissu Kasoma Shule Ya Msingi Mahambe, O-Level Ilboru Kisha Advance Galanosi Lakini Anahojiwa Nusu Saa Na Anaongea Kingereza Kilichonyooka Alafu Kuna Mtu Kasoma Mpaka PhD, Hajui kuongea Kingereza Ukimuuliza Kwanini Anakwambia "Mimi Mtoto Wa Maskini" Ndugu Wewe Ni MJINGA!!
Ubunifu mzuri na original- fizzy drink ya kiabeshi yenye moringa
👌🏽
Innovation at its best
Huku pamoja na changamoto nyingi kila nikija nakuta ubunifu wa bidhaa na huduma. Hey @moodewji how about ukwaju fizzy drink? 😂
Mi nitanunua
#ChangeAfrica#ChangeTanzania