Ma mtu🤍

1.2K posts

Ma mtu🤍 banner
Ma mtu🤍

Ma mtu🤍

@lizzah_

I speak fluent swahili.|| 🤎

Nowhere Katılım Mayıs 2024
994 Takip Edilen990 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ma mtu🤍
Ma mtu🤍@lizzah_·
JAMBO MOJA LA MUHIMU SANA. Usijilinganishe na watu wanaopata support,wewe unapigana vita tofauti. Na niseme wazi👉kuanza upya hakumaanishi umerudi nyuma,mara nyingi ndiyo mwanzo wa mwelekeo sahihi✍️
Indonesia
0
2
5
291
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Wapwa mnaonaje leo saa 4 tukaanza mention kila mmoja apate folowazi 100 hivi Acha kushangaa weka hendo yako tukufollow hapa saiv
Indonesia
50
24
60
1.3K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Wakishua wameshajua na Taito ya ngoma😅
Djkid_b_____ tweet media
Indonesia
6
13
42
1.4K
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Natamani kuzaa Natamani mtoto ila pakuanzia sasa ndo napaogopa😂😂😂
Filipino
67
21
135
9.7K
Ma mtu🤍
Ma mtu🤍@lizzah_·
@iboysean Ile Kwa jasho si ni yenu au,,,,, Sisi haituhusu😉😂
Indonesia
1
0
3
595
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Wanawake wengi hawapendi kujishughulisha hata, Ndo nime realize
Filipino
20
13
193
18K
ELIAS🦁
ELIAS🦁@Eliaskaneke·
Wakuu mnaonaje leo saa 4 tukaanza kuinuana kila mmoja na mention kila mmoja apate folowazi 100+ hivi Weka hendi yako hapa nanadaa list chap
Indonesia
31
20
49
828
JESUS COUSIN📌
JESUS COUSIN📌@PompiClicks·
Kwani ili mtu aitwe msomi anatakiwa awe na Level gani ya Elimu wanetu🤔🤔
JESUS COUSIN📌 tweet media
Indonesia
15
18
42
676
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kuna siku jamaa yangu alimpata dem pale mbezi , dem anasema alikuwa anawasiliana na ndugu yake ila tangu alivyofika ndugu yake hampati kwenye simu . iyo ngoma inasoma saa 7 usiku . arafu alikuwa na mizigo kwaiyo yule jamaa bhna kwakuwa na yeye alikuwa bado anakaa kwa wazazi wake
Indonesia
15
11
297
33.9K
EAST
EAST@Mr_Mawazo·
Nina ushahidi wa kutosha huyu jamaa ni mchicha mwiba anaebisha na abishe📌
EAST tweet media
Filipino
31
9
209
26.8K
M O X
M O X@UrBoyMox·
Kuna mwanangu amenambia nanukuu "Umeona makampuni ya Azam haya, Kama wewe ni mkristo unahitaji connection kubwa sana kupata ajira Jamaa wana udini sana" Eti ni kweli?
Indonesia
107
48
620
52.5K
Ma mtu🤍 retweetledi
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Afrika hakuna kupoa, unazaliwa maisha ya tabu, unakuwa mtu mzima unaishi kwa tabu, unawaza ukufe upumzike, ..unakufa unageuka tena mzimu usaidie ukoo!!,..aaah mamiyakee😂💔.
The champ👑 tweet media
Indonesia
30
35
104
1.8K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Hadi nyuzi😁
Djkid_b_____ tweet media
Indonesia
10
8
95
3.1K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
X matembezi tuambie hapa ni wapi..📸
kasesco☆ tweet media
Indonesia
35
24
179
10.6K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Daa Tamisem wananiachanisha na makoloni yangu 😭
Narrowbeefly tweet media
Polski
25
14
73
8K