Chief
120.5K posts

Chief retweetledi

😂😂😂😂🏊🏾
MeaMswahili@meamswahili
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Barua ya Lamine kwa mashabiki wote wa Barcelona.. 💙❤️🩹💭 “Tulitoa kila kitu, lakini haikutosha. Hii ni sehemu tu ya safari kufika kileleni ni lazima upande, na haitakuwa rahisi, wala hawatatufanyia iwe rahisi.” “Lakini kumbukeni kwamba KUKATA TAMAA SI CHAGUO.”✊🏽 Tuna sababu nyingi zaidi ya kutosha kuamini.” “Tutawafuata kwa kila tulicho nacho, kwani kila kosa ni somo msitie shaka tutajifunza kutoka kwa kila moja.” “Sisi ni Barça, na TUTARUDI PAHALI PANAPOSTAHILI KUWA. Wazazi wangu walinifundisha kwamba neno la mwanaume lazima litimizwe… na TUTAULETA UBINGWA WA CHAMPIONS LEAGUE HAPA, kumbukeni maneno yangu leo. Kijana kaongea kwa uchungu Sana😢 #MeaMswahiliUPDATES
ART
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi
Chief retweetledi

Chief retweetledi


















