Main Digital

11 posts

Main Digital

Main Digital

@maindigitaltz

Leading Digital Media in Tanzania #News #sports #Entertainment

Tanzania Katılım Mayıs 2024
0 Takip Edilen1 Takipçiler
Main Digital
Main Digital@maindigitaltz·
Burudani za ufunguzi wa Main FM Cup 2024 zitahudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kigoma (mgeni rasmi) Dkt. Rashid Chuachua katika uwanja wa Kawawa-Ujiji. Ni Jumapili hii ya Oktoba 27, 2024 mechi ya ufunguzi ikizikutanisha Bangwe Beach Combine Sc dhidi ya Mlole FC. #mainfmcup2024
Main Digital tweet media
Indonesia
0
0
1
3
Main Digital
Main Digital@maindigitaltz·
usimamizi wa mikopo hiyo katika ngazi ya Mikoa, Halmashauri na kata. Mhe. Katimba amesema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu, wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Christina Christipher Mnzava akitakakujua
Indonesia
1
0
0
2
Main Digital
Main Digital@maindigitaltz·
#BUNGENI: Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimamizi wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya Wizara, na kamati ya
Main Digital tweet media
Indonesia
1
0
0
1
Main Digital
Main Digital@maindigitaltz·
(programmers) ambao wangeweza kumtengeneza akaongea Lugha zote (Kiswahili, Kifaransa n.k) sio wale wamekaa pale ukiwauliza wana-google ndo wanakwambia, kwa sisi watu wa teknolojia pale Waziri umetudanganya!" Amesema Mbunge, Condester Sichwale.
Indonesia
0
0
0
8
Main Digital
Main Digital@maindigitaltz·
#BUNGENI: "Katika hili naomba nikushauri sisi vijana wa Kitanzania wenye professional ya teknolojia, tunaomba kwenye wizara yako tutengee siku moja kila mwezi tuwe tunakutana kushauriana kuhusu teknolojia na ninakuahidi utakutana na vijana wengi wa kitanzania na wazuri zaidi
Main Digital tweet media
Indonesia
1
0
0
11