Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)

728 posts

Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) banner
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)

Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)

@maishaborafdn

Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), founded in 2021 by the First Lady of Zanzibar, is dedicated to improving the quality of life for women, youth & children

Zanzibar, Tanzania Katılım Ocak 2022
89 Takip Edilen977 Takipçiler
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
A valuable exchange aligned on sustainable impact and long-term partnership. 🗓️ 06 January 2026 📍 ZMBF Migombani Office
English
0
0
0
57
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
The discussion focused on strengthening socio-economic development for women and youth, and exploring potential areas of collaboration where UNDP can support ZMBF particularly in the Seaweed Socio-Enterprise initiative.
English
1
0
0
58
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
A strategic and insightful meeting with the UNDP Resident Representative in Tanzania, Mr. Shigeki Komatsubara, together with our CEO, Mrs. Fatma Fungo.
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
English
1
0
1
69
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Bodi ya Wadhamini na Menejimenti ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) inampongeza Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar kwa kipindi cha pili cha awamu ya 8
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Indonesia
0
0
1
74
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Kwa ushirikiano kati ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)* na Wizara ya Afya Zanzibar, zaidi ya wanufaika 27,000 wamepata huduma bora za afya tukitimiza adhima yetu ya “Afya Bora, Maisha Bora kwa Wote.”
Indonesia
0
0
0
55
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Kupitia huduma za madaktari bingwa, upimaji wa macho, uchangiaji damu, elimu ya afya na matembezi ya *Mariam Mwinyi Walkathon, kila kambi imekuwa ni hadithi ya matumaini, uponyaji na mshikamano wa kijamii.
Indonesia
1
0
0
57
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
kutambulisha programu ya Environmental Art Education, mradi unaolenga kuongeza uelewa wa watoto kuhusu uhifadhi wa mito kwa kutumia sanaa na ubunifu. Mazungumzo haya yamefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kimataifa katika kukuza ustawi wa watoto na maendeleo endelevu ya jamii
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Filipino
1
0
0
57
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Afisa Mtendaji Mkuu wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Bi. Fatma Fungo, amepokea ugeni kutoka Shandong Tongshan Child Welfare Public Benefit Development Center wa Jamhuri ya Watu wa China, ukiongozwa na Li Xiao, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo,
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Filipino
1
0
0
82
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Dr. Said Seif Said, alihudhuria mkutano huo Mfumo huo unatarajiwa kusaidia Serikali na wadau kupanga mikakati bora ya kulinda haki, heshima na ustawi wa wanawake na watoto Zanzibar. 📅 20 Oktoba 2025 📍 Zura Building, Unguja
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Indonesia
0
0
0
21
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
utoaji wa huduma kwa waathirika wa ukatili wa kijinsia. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mstahiki Meya Jiji la Zanzibar, Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa, pamoja na Dkt. Ibrahim Kabole, Mratibu huduma za afya ZPDB. Pia Mkurugenzi wa E-Government Agency Zanzibar (EGAZ),
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Indonesia
1
0
0
41
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
ZMBF NA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII ZANZIBAR WAANDAA MKUTANO WA WADAU KUJADILI MFUMO JUMUISHI WA KIDIGITALI WA TAARIFA NA USIMAMIZI WA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Indonesia
1
0
2
82
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
ukatili wa kijinsia. Mkutano huo ulifunguliwa rasmi na Mstahiki Meya Jiji la Zanzibar, Mhe. Mahmoud Mohamed Mussa, pamoja na Dkt. Ibrahim Kabole, Mratibu huduma za afya ZPDB. Pia Mkurugenzi wa E-Government Agency Zanzibar (EGAZ), Dr. Said Seif Said, alihudhuria mkutano huo
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet mediaZanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Indonesia
0
0
0
36
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Bodi ya Wadhamini na Menejimenti ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) inaungana na Watanzania wote katika kumbukizi ya miaka 26 ya kifo cha Baba wa Taifa
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) tweet media
Indonesia
0
0
0
34
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
Pia, pande hizo mbili zimejadili maeneo ya ushirikiano katika kuimarisha ukusanyaji, uchambuzi na matumizi ya takwimu shirikishi hususan katika sekta za afya, uwezeshaji kiuchumi na maendeleo ya jamii ili kuongeza ufanisi wa miradi inayowanufaisha wananchi.
Indonesia
1
0
0
18
Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)
MTWAKIMU MKUU AIPONGEZA ZMBF KWA UHODARI WA MATUMIZI YA TAKWIMU Bi. Fatma Fungo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) amefanya kikao na Ndg. Salum Kassim Ali, Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Zanzibar.