C H É N Y Á N G
19.7K posts

C H É N Y Á N G
@mancaster06
2026 will be WINS and GREATNESS Inshallah

Umepata Ajira Serikalini 900K per Month Umepata Ajira Sekta Binafsi 1.8M per Month Utachagua wapi hapa? 😂

🚨 UPDATES ✍️ ➡️ Winga wa Simba Sc 🇹🇿 Elie Mpanzu 🇨🇩 amesaini mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kuitumikia Klabu hiyo. ✅ Official & Confirmed.


Kabla ya Nyerere kuvunja East Africa Muslim Welfare na kuunda Bakwata Kadhi (Mufti)alikuwa mmoja akiwa Kiongozi wa Waislaam East Africa yote yaani Tanganyika Kenya na Uganda kwahiyo Mwezi ukionekana katika moja ya nchi hizo huwa Iddi kwa nchi zote Bakwata sio ya Waislaam

Mufti Mkuu wa #Tanzania Jana kwenye taarifa yake alisema amewasiliana na Mufti wa #Kenya, kwamba hata hukoo #Eid kesho. Ila Kenya na Uganda wamesali #Eid leo. Nami najiuliza kama ww 🙌

Again, I met many Nigerians at Anfield last night. Please share the selfies if you anyone of you see this. From stewards to security marshal to media assistants to lounge reps. May God bless all our hustles. 🙏🏻

Tupo hours ahead of America and hours behind Saudia ila Iddi ya Tanzania ni tofauti na ya huko kote. Ni kasheshe.

Jamani mlio karibu na Baba MUFTI Mkuu wa Tanzania mwambieni EID ni IJUMAA na EID 2 ni JUMAMOSI Dunia nzima imeshauona Mwezi sasa yeye zile story kuwa Wenzetu Duniani wanasherhekea Ijumaa halafu sisi anatutangazia Jumamosi TUMECHOKA.

#TajiriLaKihaya Kwa hiki kilichotokea Leo! Tukubali kwamba BAKWATA huwa wapo sahihi💯💯 Na tuache kua na mihemko kwa mambo yanayohusu ELIMU!

