Tondoro

15.7K posts

Tondoro

Tondoro

@marora_86

Freelancer, an activist, helping different people in society

Katılım Eylül 2021
1.1K Takip Edilen603 Takipçiler
Tondoro retweetledi
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Jebra Kambole tweet media
sir_wicknell.@wicknellchivayo

KAZI INAENDELEA 🇹🇿… Yesterday, my wife and I had the pleasure of paying a COURTESY CALL on H. E. PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN at State House in DAR ES SALAAM 🇹🇿. We were received with MOTHERLY HUMILITY that one immediately understands why Tanzanians take PRIDE in having her as their President 👏🏽👏🏽👏🏽 MAMA SAMIA’s administration has hit the GROUND RUNNING, demonstrating that it is a Government that knows exactly where it is taking its people. One can already see the UNMISTAKABLE signs of a leadership determined to deepen INVESTOR CONFIDENCE through major policies which have placed Tanzania as a leading centre of COMMERCE and TOURISM in Eastern Africa. Our discussion was wide-ranging and touched on potential INVESTMENT in critical sectors such as healthcare, agriculture, water treatment, RENEWABLE ENERGY and other areas of strategic importance to Africa’s future. This is the kind of DISCIPLINED and FORWARD-LOOKING LEADERSHIP that reassures citizens that more stable and prosperous days lie ahead. There is also something profoundly reassuring about leadership in the hands of a woman of such great WISDOM and MATERNAL INSTINCT. Her Excellency carries the authority of a STATESWOMAN, yet one can clearly sense the natural disposition of a mother. She is a leader who INSTINCTIVELY understands that the duty of Government is to CARE, PROTECT and UPLIFT her people. That rare combination of STRENGTH and COMPASSION is precisely why Tanzania is set to witness UNPRECEDENTED socio-economic development under her stewardship. History will remember MAMA SAMIA as a DISTINGUISHED LEADER whose leadership under CCM will result in phenomenal economic growth for TANZANIA !!! Following our visit, we had the pleasure of touring the SERENGETI GAME RESERVE, one of Africa’s most BREATHTAKING natural treasures. With its vast wildlife, rich flora and fauna & unmatched beauty, it stands as Tanzania’s immense natural wealth and untapped investment potential. Asante sana Mama Rais. Wewe ni kiongozi wa MAONO, na Tanzania iko salama mikononi mwako. 🇹🇿🙏🏾 #MamaSamia #Kazi_Inaendelea #CCM #Serengeti #The_Jewel_Of_Africa

ZXX
7
14
104
6.5K
Tondoro retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Miungu watu ,hii video imenisikitisha sana , hii ni laana 😡😡
Eesti
21
24
116
16.8K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mara nyingi watu huchanganya serikali na nchi, kana kwamba ni kitu kimoja. Ukweli ni kwamba nchi ni watu, ardhi, utamaduni na mustakabali wa pamoja, ilhali serikali ni chombo cha uongozi cha muda. Hivyo inawezekana kuipenda nchi kwa dhati huku ukiikosoa au kuipinga serikali inapokwenda kinyume na haki na maadili. Biblia katika Warumi 13:1 inasema, “kila mtu na aitii mamlaka iliyo juu yake, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, na ile iliyopo imewekwa na Mungu.” Hata hivyo mamlaka iliyowekwa na Mungu inapaswa kutenda haki, huruma na ukweli, yaani kufanya mambo ya Mungu. Pale mamlaka inapogeuka na kuanza kukandamiza, kueneza ufisadi au kumwaga damu isiyo na hatia, inakuwa imeacha nuru na kuanza kutumikia giza. Kwa hali hiyo, kuikosoa au kupinga uovu wa serikali si kuichukia nchi, bali ni kuipenda kwa kutamani iongozwe kwa haki. Mwananchi anapokataa dhuluma na kusimama upande wa kweli, anatimiza wajibu wa kimaadili na kiroho. Kwa hitimisho, utii kwa mamlaka ni sahihi pale inapofuata haki. Lakini mamlaka inapogeuka kuwa chombo cha giza, wananchi wana wajibu wa kusema hapana ili kulinda haki, amani na uadilifu katika jamii.
Indonesia
50
73
382
20.7K
Tondoro retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Samia lete hiyo habari ya CHANDE Una hiyo report zaidi ya wiki sasa mmeshindwa edit ? Au mnasoma maoni mtandaoni na ku edit? Baadaye mtuambie hii story ya Magufuli inakuwaje majambazi aliokamata ndio washikaji zako
Think Different tweet media
Indonesia
8
44
236
6.7K
Tondoro retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Good night, President Tundu Lissu. Wear that mask of courage, confidence, perseverance & determination. You’ll triumph and emerge stronger. It is never easy and you know better than all of us. Keep going and be great. Victory is certain. Solidarity forever, Idol!
Tito Magoti tweet media
English
8
172
633
6.4K
Tondoro retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
NO JUSTICE NO AFCON NO JUSTICE NO AFCON NO JUSTICE NO AFCON NO JUSTICE NO AFCON NO JUSTICE NO AFCON
English
22
225
821
8.9K
Tondoro retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kweli
Think Different tweet media
Filipino
2
32
220
7K
Nipashe Tanzania
Nipashe Tanzania@Nipashetz·
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, akimpongeza Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kupokea taarifa ya uteuzi akiwa ndani ya treni ya SGR walipokutana wakielekea Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi jana usiku. Jana Aprili 2,2026 Rais Samia Suluhu Hassan, alifanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri kwa kumteua Prof. Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu. Imeandikwa| Mwandishi Wetu Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari
Indonesia
64
11
144
72.2K
Tondoro retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨DUNIA IMEANZA KUSHTUKIA MUUNGANO HUU WA KIWAKI‼️ Hili suala la meli kupeperusha bendera ya Tanzania muungano wakati Zanzibar ina mamlaka yake na inadai usafiri si suala la muungano ni upumbavu na uharamia! Wao wanatoa meli za kihalifu zitumie alafu nchi yote ndo tunawajibishwa! Naona dunia imeshtuka sasa Zanzibar ipeperushe bendera yake kama inataka au wafuate utaratibu wa Muungano Ila #TutaelewanaTu mbona!?
Filipino
14
168
591
24.9K
Tondoro retweetledi
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
serikali haipaswi kuwa na mamlaka ya kufungia chombo cha habari. hatuhitaji sheria inayoipa serikali mamlaka hiyo. serikali ijitoe kwenye kusimamia maadili ya uandishi wa habari. why haisimamii maadili ya wanataaluma wowote wengine? solidarity w/ @Jambotv_ 🎥: @kirati_j07
Indonesia
6
43
186
3.5K
Tondoro retweetledi
Tondoro retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Magufuli aliwahi kusema haya kuhusu Angela Kizigha.
Indonesia
26
135
847
27.3K
Tondoro
Tondoro@marora_86·
@IAMartin_ Hizo habari lita moja ya mafuta ya petroli Kenya inauzwa Tsh 5,450 ametoa wapi? Au amesogezewa kipeperushi na KIHONGOSI kutoka ma’group yao ya WOSAPU?😂
Indonesia
2
2
14
595
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
KIUMBE HUYU NI MZIGO. Mtu ‘anayejiita mbunge’ anasema Serikali ya CCM imeongeza bei kidogo sana ya mafuta kulinganisha na Kenya. Huyu mtu hajajishughulisha vya kutosha. Huwezi kulinganisha uchumi wa nchi na nchi kwa kutaja tarakimu tu. Kulinganisha uchumi wa Tanzania na Kenya anatakiwa kutumia vipimo viwili vikuu ambavyo ni; GDP per Capita (Pato la Taifa kwa kila kichwa) na GDP per Capita PPP (Pato la Taifa kwa kuzingatia Uwezo wa Kununua - Purchasing Power Parity). Zingatia hivyo. 1.GDP Per Capita (Nominal); Hiki ni kipimo cha thamani ya fedha ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa nchini, ikigawanywa kwa idadi ya watu katika nchi. GDP (pato la Taifa) inatumia viwango vya soko vya kubadilisha fedha (USD). Hii hutumia viwango vya soko vya kubadilisha fedha (market exchange rates). Tofauti na Tanzania ambayo uchumi wake unategemea zaidi rasilimali za asili (kama madini), Kenya imejenga msingi wake katika sekta ya huduma na ubunifu. Kenya ni kiongozi wa kidijitali barani Afrika, jambo lililoipa jina la utani la “Silicon Savannah.” Mapinduzi ya huduma za kifedha kwa njia ya simu yalianzia hapa. Nairobi ni makao makuu ya makampuni makubwa ya teknolojia duniani (Google, Microsoft, na Amazon) yanayofanya shughuli zake katika bara la Afrika. Benki za Kenya (kama Equity na KCB) zimepanuka na kutawala soko la kanda ya Afrika Mashariki na Kati, zikiwa na matawi nchini DRC, Rwanda, South Sudan Uchumi wa Tanzania kwa sasa unapitia kipindi cha mpito ambapo matokeo yake katika thamani ya sarafu na soko la kimataifa yanachukua muda sana kuonekana. Tanzania inasafirisha madini ghafi. Thamani kubwa ya soko inabaki nchi za nje ambako madini hayo yanasafishwa na kutengeneza bidhaa za mwisho. Thamani halisi inayobaki ni asilimia ya mirahaba na kodi, wakati thamani kubwa ya soko la madini hupimwa masoko ya hisa ya kimataifa (London au Toronto). Uchumi wa Tanzania una sehemu kubwa sana ya sekta isiyo rasmi inayozalisha fedha nyingi, lakini hazionekani kwenye takwimu rasmi za thamani ya soko la kidunia. Kwa wastani, raia mmoja wa nchi ya Kenya anaonekana kuzalisha thamani ya fedha karibu mara mbili ya raia mmoja wa Tanzania katika soko la kimataifa. 2.Purchasing Power Parity (PPP); Hiki ni kipimo cha “uwezo wa kununua.” Kinarekebisha tofauti za gharama za maisha na bei za bidhaa kati ya nchi hizi mbili. Kwa mfano, kama $1 inaweza kununua mikate miwili Tanzania lakini kwa bei hiyo, unaweza kununua mkate mmoja tu nchini Kenya, PPP inazingatia ukweli huo. Kenya ina kipato kikubwa, gharama za maisha ni kubwa. Tanzania ina gharama ndogo za maisha baadhi ya sekta (vyakula vya asili na baadhi ya huduma za kijamii). Kenya ina sekta ya huduma (Banking, Tech, Tourism) iliyoendelea zaidi, ambayo huzalisha thamani kubwa ya fedha. Tanzania inategemea zaidi Kilimo na Madini. Kenya imekuwa kitovu cha kibiashara (Regional Hub) kwa muda mrefu, jambo linalovutia makampuni mengi ya kimataifa kufanya uwekezaji mkubwa Kenya. Kwa sasa nchini Kenya, bei za mafuta zilizotangazwa na Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) zinazotumika hadi Aprili 2026 kwa Mombasa; Petroli (Super Petrol) KSh 189.60 kwa lita (Tsh3,771. Dizeli (Diesel) KSh 173.10 kwa lita (Tsh 3,452). Mafuta ya Taa (Kerosene) KSh 163.00 kwa lita (Tsh 3,253). Hizo habari lita moja ya mafuta ya petroli Kenya inauzwa Tsh 5,450 ametoa wapi? Au amesogezewa kipeperushi na KIHONGOSI kutoka ma’group yao ya WOSAPU? Mtu ambaye anayejiita ‘mbunge wa CCM’ alitakiwa apitishe ubongo wake maeneo hayo, halafu ajenge hoja zake. Vinginevyo ni MPUMBAVU mwenye ujasiri.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
41
144
715
29.8K
Tondoro retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Machawa uwa tukiwaambia tujenge nchi, wakati wanakula wamepewa sahani watajibu tutawapelekea moto Tulia alikuwa anatuambia kutupelekea moto, Wakitolewa kwenye kula wanapelekewa moto sasa si bora tuwe na nchi yenye HAKI kuacha huu upumbavu mnafanyakazi na mtu ya kutesa wananchi na kuumiza watu, halafu baada ya muda mnapelekewa moto kwa kasi sana
Think Different tweet media
Indonesia
11
30
238
17.9K