Hiphopnuer
3.4K posts


@zoetjesheeftX Umeandika upumbavu mwingi, ungewasikiliza watu kama Jim Beglin au Peter Drury wanavyitangaza mipira huko ulaya ungefuta huu upuuzi.
Indonesia

Niseme kitu mimi kama Mdau wa mpira na Mteja wa Azam Tv kiukweli sivutiwi na baadhi ya mambo ya huyu Gharib Mzinga, ni mtangazaji mzuri ila ni kama ana uchawa Fulani.
Unakuta Kwenye matangazo ya mechi zinazo wahusu Simba na Yanga Kila mara oooh baada ya tajiri GSM kuingia Yanga kama mwekezaji akawaleta wachezaji mara hivi mara vile, Sasa Yanga imekuwa ni Moja ya timu tishio barani afrika, hivyo hivyo Kwa upande wa Mo, Yani anawapa sifa Kila mechi.
Sasa mambo kama hayo Yana husiana nini na utangazaji wa mechi? Au huwa Wana lipa wasifiwe? Mbona hayo mambo hatusikii kwenye mechi za nje matajiri wakisifiwa?
Kwanini Tanzania Kila kitu kwetu iwe uchawa uchawa tu? Tangaza mechi kile kinacho onekana uwanjani hayo mengine waachiwe akina Alikamwe na Ahmed Ally.
Unaungana na Mdau au ana mambo yake?

Indonesia

@njiwapori_ @Kariakoo_ @Captain_Josh47 jinsi ya kufungua master card ya mpesa nafanyaje mkuu maana nisha jaribu nikashindwa
Indonesia

@Kariakoo_ @Captain_Josh47 Kaka tajiri wapi, 😁 nilifungua masta ya M pesa. Ndio natumia kulipia blue tick sasa imeisha naona inajikata.
Filipino

@Adventure_36 mkuu kwani wewe redio zote hua unasikiliza sangapi ? au wewe ndio yule Joshua turuka kila mahali upo🤣
Indonesia

@TBoundBuses kudadeki halafu hapa ni tabata segerea asbhi nilipita hapa kuomba kibarua
Filipino

@RKimbawala @Aruatani kwenye alubum yao ya funga kazi kuna dude linaitwa time 4 action ni balaa sana hilo dude
Filipino

@Aruatani Alituongoza na kutuburudisha watanzania wengi sana.
Prof Jay, na kundi lake la Hard blasters walibadili mitazamo ya watu wengi na watanzania waliacha kuamini kuwa Bongofleva ni muziki wa kihuni baada ya kutoa ngoma kali ya CHEMSHA BONGO,Ngoma bado inaishi hadi leo🙌
Indonesia

@Vitabu247 umeniacha na hiyo line ya mwisho sijui umemanisha nini
Indonesia

Kaa mbali na hivi vitabu kama hutaki kuingia gharama ya kusoma vitabu maisha yako yote.
1. RichDad Poordad
2. Atomic habits
3. Richest man in Babylon
4. Psychology of Money.
Kwanza, humo ndani umasikini umeshushwa thamani sana.
Pili, utafutaji wa maarifa kama sehemu ya maisha yako umepewa hadhi ya juu sana
Tatu, hivyo vitabu vinakuonesha una uwezo wa kubadilika na kubadilisha maisha na vinakupa namna ya kupita
Nne, Utajiri umefanywa kuwa jambo jepesi kiasi kwamba kila mtu anaweza kuufikia.
Kwanini nimesema ukae navyo mbali ni kwa sababu maarifa ni gharama lakini gharama kubwa ipo kuuishi ujinga.


Indonesia

@JosmanStima @Happinesmlay 🤣🤣dah qmk sema kinondoni sijui kuna nini mpaka timu yao inashuka daraja
Indonesia

@Happinesmlay Uyo alie juu ya feni si amlukie kichwani amkanyage? Au hii ni katuni za wanaume wa kinondoni
Indonesia



















