Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd
15.7K posts

Abuu Zayd
@mazimba_
Obsessed with technology📉 #Cybersecurity
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2023
683 Takip Edilen700 Takipçiler
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi

“Ewe Daudi! Hakika Sisi tumekufanya wewe uwe Khalifa katika nchi. Basi wahukumu watu kwa haki, wala usifuate matamanio yakakupoteza kwenye Njia ya Mwenyezi Mungu. Hakika wanao ipotea Njia ya Mwenyezi Mungu wakaiacha, watapata adhabu kali kwa sababu ya kusahau kwao Siku ya Hisabu.”
(38:26 Qur'an)
Indonesia
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi

Huyu ndio Imamu wa Makkah aliyekuja Tanzania wiki hii"
Sheikh Badru Bin Mohammad Alturky Allah amuhifadhi-Mwenye umri wa miaka 41
Alizaliwa Tar 19/08/1984M_22/11/1404H katika mji wa Buraydah Nchini Saudia Arabia"
Sheikh Badru Bin Mohammad Alturky ni Imamu,khatibu na msomi wa quran maarufu duniani-Allah amuhifadhi
Alihifadhi quran katika umri mdogo kisha akasoma elimu ya kisheria,ambapo ni mhitimu wa chuo kikuu cha Imam Mohammad bin Suud cha kiislamu kilichopo Riyadh Saudi Arabia"
Mwaka 2024 aliteuliwa kuwa Imam kati ya maimamu wa msikiti mtukufu wa makkah akiwa na umri wa miaka 39"
Sheikh Badru Bin Mohammad anajulikana kwa sauti yake tamu na usulubu wa kipekee katika usomaji wa quran"
Amekuja Tanzania wiki hii-04/2026 ikiwa ni ziara yake ya kwanza Tanzania"
Akiwa ni kati ya wageni waalikwa katika mashindano ya kimataifa ya quran tukufu yaliyofanyika hapa Tanzania wiki hii"
Baadhi ya watu huuliza kwa nini Sheikh amepokelewa na masufi kwani yeye ni mtu wa Bidaa!!!?
Jawabu ni kuwa Sheikh Allah amuhifadhi ni Salafiy Suniy" ama kufikia kwake kwa masufi ni kwa sababu amekuja kiserikali-yan amekuja kwa dhamana ya serikali ambayo mkono wake ni bakwata'' hivo hakuja kwa wito wa mtu binafs.
Jambo la kufurahisha ni kuwa Sheikh badru Bin Mohammad atatembelea Masjid Omar bin khattab,uliyopo jangwani kariakoo-hapo Kesho Tar 06/04/2026" Saa sita mchana
Tunawahimiza waislamu kuhudhuria kwa wingi kwenda kusikiliza nasaha za sheikh Mgeni wetu Allah amuhifadhi"
Imeandaliwa na:
Mohammadi Sungi
Indonesia
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi

Sahihi Bukhari:391
Amepokea Anas bin Malik(Allah amridhie)
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alisema:
“Yeyote anayeswali kama tunavyoswali, anaelekea Qibla yetu, na anakula wanyama tuliowachinja, basi huyo ni Muislamu na yuko chini ya ulinzi wa Mwenyezi Mungu na Mtume Wake. Basi msimsaliti Mwenyezi Mungu kwa kuwasaliti wale walio chini ya ulinzi Wake.”
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi
Abuu Zayd retweetledi









