Alex Mbassa

1.3K posts

Alex Mbassa banner
Alex Mbassa

Alex Mbassa

@mbasason

Jifunze Mbinu za Ufugaji Wa Nguruwe Kisasa Na Ujenge Biashara Yenye Faida

Katılım Ağustos 2020
477 Takip Edilen400 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
Habari 👋 Naitwa Alex,mfugaji wa nguruwe. Ukurasa huu ni kwa ajili ya kushirikiana mbinu rahisi, changamoto na faida za ufugaji wa Nguruwe 🐷 Kama ni mfugaji mchanga au unafikiria kuanza, basi hii ndiyo sehemu sahihi. Karibu tuanze safari hii pamoja! 🌱" #UfugajiWaNguruwe#
Indonesia
2
0
6
4K
now.arsenal
now.arsenal@now_arsenaI·
🚨Want to win a 2025/26 Arsenal shirt of your choice? Predict the correct score in the game between Everton and Arsenal tonight… Good luck & COYG!💪🏼
now.arsenal tweet media
English
1.3K
203
4.5K
230.3K
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
🌱Dalili za Shida ya Upumuaji kwa Nguruwe 1)Kukohoa/kupiga chafya 2)Kupumua kwa shida au haraka 3) Homa 4)Uchovu na kukosa hamu ya kula Chukua hatua mapema,wasiliana na daktari wa mifugo. #UfugajiWaNguruwe#
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
0
0
0
75
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
🌱Ni Rahisi Sana Kuzuia Magonjwa 📌Usisubiri kuona dalili,zingatia chanjo kukinga magonjwa 📌Usiazime vifaa vya shambani kutoka au kwenda shamba jirani 📌Ikitokea mnyama amekufa,mzike au mchome kwa moto 📌Watenge nguruwe wapya angalau kwa siku 10 #UfugajiWaNguruwe#
Indonesia
0
0
0
41
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
PS:Kwa kuangalia aina, ukubwa na uchakavu wa meno, unaweza kujua kwa urahisi kama nguruwe ni mchanga, kijana, mzima au mzee. Ukijua meno, unaujua umri! 🐖🦷 📌Endelea kuwa karibu na ukurasa huu kwa kulike,kushare,kukoment na kutufollow #UfugajiWaNguruwe#
Indonesia
0
0
0
44
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
📌Kujua umri wa nguruwe ni jambo muhimu kwa mfugaji yeyote 📌Moja ya njia rahisi ya kutambua umri wa nguruwe ni kuangalia meno yake. Meno ya nguruwe hubadilika hatua kwa hatua kadri anavyokua, na kila hatua huacha ishara inayoonekana 👉Meno husaidia kutambuakama ifuatavyo 🧵👇
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
5
0
0
88
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
4)Nguruwe mzee(miaka 5 na zaidi) -Meno ya chonge huwa marefu sana na yamepinda -meno ya mbele na meno mengine huchakaa -Meno huwa ya njano au kuvunjika
Filipino
0
0
0
41
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
3)Nguruwe mkubwa(miaka 2-4) -Wana meno ya kudumu ambayo ni imara sana -Meno ya chonge huanza kukua na kupinda -Meno ya mbele na meno mengine huanza kuchakaa sababu ya kula
Indonesia
0
0
0
35
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
2)Nguruwe kijana(mwaka 1-2) -Meno 44 ya kudumu hutokea -Meno ya mbele huwa makubwa na imara -Meno ya chonge huwa madogo na hayaonekani sana
Filipino
0
0
0
33
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
1)Nguruwe mtoto(miezi 0-12) -Wana meno 20 ya utotoni -Meno ya mbele ni meupe sana,madogo na makali -Meno hutokeza kuanzia miezi 8-12
Indonesia
0
0
0
31
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
Kuepuka Magonjwa ya Nguruwe 📌Badili viatu/nguo unapoingia na kutoka kwenye shamba 📌Nyunyiza dawa ya kuua vimelea kwenye vifaa mara kwa mara 📌Zuia wageni wasiokuwa lazima kuingia ndani 📌Tenga wanyama wapya kabla ya kuwaunganisha na kundi 📌Dumisha usafi wa mabanda kila siku
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
0
0
1
92
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
📌Wafugaji wamekusanyika kwaajili ya kikao. Umegundua nini cha kufanana kwenye hii picha🤣😃👇
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
0
0
0
46
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
Vitamini Muhimu kwa Nguruwe Kabla na Baada ya Kuzaa 🐖 1)Kabla ya kuzaa 🌱A,Dna E-kuimarisha ngozi,mifupa na kinga za mwili 🌱B complex-kuimarisha shughuli za kubadilisha chakula kuwa nishati 🌱Selenium na madini chuma 2)Baada ya kuzaa 🌱B complex 🌱Vitamin C
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
0
0
0
71
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
🌱Makosa Ya Kuepuka Wakati Wa Kutoa Chanjo 1)Kutumia chanjo iliyoharibika 2)Kutoweka chanjo kwenye barafu 3)Kurudia kutumia sindano chafu 4)Kutoa dozi isiyo sahihi 5)Kutokurudia chanjo muda unaotakiwa 6)Kutoa chanjo kwa nguruwe mgonjwa 7)Kumshika nguruwe vibaya wakati wa chanjo
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
0
0
0
43
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
4)Hatua ya nne 📌Muwekee nguruwe uliyempa chanjo alama na urekodi -Andika namba ya nguruwe,chanjo aliyopewa,dozi na tarehe 👉Endelea kusapoti ukurasa huu kwa kulike,kushare na kufollow ili uendelee kupata dondoo mbalimbali za ufugaji wa nguruwe #UfugajiWaNguruwe#
Indonesia
0
0
1
39
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
🌱Jinsi Ya Kuwapa Nguruwe Chanjo 📌Ili kuwapa nguruwe chanjo ipasavyo ni muhimu kufuata hatua zifuatazo kwa umakini 🧵👇
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
4
0
1
59
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
3)Hatua ya tatu 📌Chagua njia sahihi ya kuchoma chanjo 👉Kuchoma kwenye misuli(intramuscular) -Tumia eneo la shingo au paja,choma sindano engo ya 90° 👉Kuchoma chini ya ngozi(subcutanous) -Tumia ngozi nyuma ya sikio au mkunjo wa shingo,engo 45° -choma taratibu kupunguza maumivu
Indonesia
0
0
0
30
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
2)Hatua ya pili -Andaa chanjo husika,tikisa chupa -Soma maelekezo vizuri au uliza kuhusu dozi kwa daktari wa mifugo -Vuta dozi inayotakiwa kwenye bomba la sindano ie mls 1-2 kwa nguruwe mmoja
Indonesia
0
0
0
30
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
1)Hatua ya kwanza 📌Pata vifaa vyako vyote kwaajili ya chanjo -Sindano,itumike mpya kila baada ya nguruwe watano -Gloves na dawa ya kuuwa vimelea -Chanjo iliyowekwa kwenye sanduku la barafu au friji -Notebook au fomu ya kurekodi taarifa za chanjo
Indonesia
0
0
0
28
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
7)Chanjo ya Mycoplasma -Husababisha nguruwe kupiga chafya na ukuaji wa taratibu -wape wakiwa na wiki 3-4
Indonesia
0
0
0
37
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
🌱Chanjo Zinazohitajika Kwa Nguruwe Kama tulivyojadili kwenye andiko lililopita kuwa chanjo ni kama ngao dhidi ya magonjwa. Hivyo basi tuangalie chanjo za muhimu zinazohitajika kwa nguruwe 🧵👇
Alex Mbassa tweet media
Indonesia
7
1
1
76
Alex Mbassa
Alex Mbassa@mbasason·
6)Chanjo ya Parvovirus -Hii ni kwa majike kwaajili ya kuzalisha -Wape watoto wanapofikisha umri wa wiki 8 na rudia kila baada ya mwaka 1
हिन्दी
0
0
0
39