
MUST inajivunia Ms. Catherine Boniphace Nkumingi, mhitimu wa Shahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Bachelor of Civil Engineering), kwa kutunukiwa tuzo ya mwanafunzi bora katika masomo ya Uzamili ya Uhandisi katika chuo cha IIT Madras
Huu ni uthibitisho wa ubora wetu
#MUST




Filipino




























