mbise

15.7K posts

mbise banner
mbise

mbise

@mbisee

RULE OF LAWS💥💣 VOICE FOR VOICELESS💥💣 JUSTICE🔥JUSTICE🔥JUSTICE🔥 FREEDOM OF SPEECH🎤🔊📢 HATER IF HATE♨️♨️♨️

Arusha, Tanzania Katılım Mayıs 2012
1.3K Takip Edilen1.6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
mbise
mbise@mbisee·
Nasimama na Babu zangu
mbise tweet media
2
3
15
0
mbise retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kumbe WAMEPOTEZA watalii baada ya MO29. Kwamba RIO ndio amekuja kusafisha damu za ndugu zetu mlizomwaga. Nyie mpo bize na kuendeleza UTEKAJI kila kona ya nchi. Hatimae JOYCE WOWOWO limeropoka siri za kambi. Sasa huyo RIO tutanyoooa nae kwenye page zake atajuta kuwa na ushirika na WACHAWI. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Filipino
11
46
203
6.4K
mbise retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nitakuabudu kwa kila pumzi niliyo nayo Mwenyezi Mungu , kwa maana wewe ni MWAMINIFU sana.
Godbless E.J. Lema tweet media
Filipino
15
108
624
4.6K
mbise retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
BAWACHA wamjia juu Mwenyekiti wa UWT Mary Chatanda, ‘The Hague inakuita’
Indonesia
1
18
67
1.5K
mbise retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Asanteni sana Arusha mjini💪
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
5
78
406
4K
mbise retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
ARUSHA ASANTE SANA. Much ❤️ Always.
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
English
21
211
1.1K
12K
mbise retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hivi DPP Mwakitalu Samia alikuahidi nini? Uteuzi!? Kuwa jaji? Wa wapi? Hapahapa Tanzania? Katika nchi ya Gen Z 🇹🇿 ? Achana na kesi ya Tundu Lissu! Unafikiri kweli utakuwa na kazi siku zijazo katika nchi hii yetu ya Gen Z? Jipime! Jenga future yako sasa na futa hii kesi #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
9
93
424
10.1K
mbise retweetledi
sultan
sultan@chapanombombwi·
Tangu upande wa Jamhuri ukimbilie Mahakama ya Rufaa na kesi ya msingi kusimamishwa (Februari 24, 2026) hadi leo (Mei 22, 2026) jumla zimepita siku 87. Tunawauliza Serikali, hamtaki kuendelea na kesi yenu dhidi ya Tundu Lissu? Ushahidi wenu hautoshelezi? Au Vielelezo vya kuthibitisha kesi yenu vimeyeyuka? Tunawauliza @judiciarytz hamtaki kesi dhidi ya Tundu Lissu iendelee? Kwanini tarehe haipangwi baada ya siku 87 kupita? Majaji wa mahakama ya rufaa hawapo? Kama hamtaki kuendelea na kesi kwa njia za mahakama, muachieni huru Tundu Antiphas Lissu. Kama mnataka kuendelea na kesi yenu, pangeni tarehe haraka sana. Nje na hapo, mnaulazimisha UMMA kusimama na kumdai Tundu Antiphas Lissu. CHADEMA inamtaka kiongozi wa chama uraiani. Tunasisitiza #FreeTunduALissu
sultan tweet media
Indonesia
9
85
250
6.9K
mbise retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
We will never stop demanding #FreeTunduLissu Nyie endeleeni na huu upumbavu wenu mkijiona mabingwa! Ila kwa sasa mnatakiwa kujipanga kwa future without CCM Mwachieni mapema Rais ajaye Tundu Lissu! #FreeTunduLissu NOW!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
9
185
461
3.5K
mbise retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Hizo pingu ni ngumu sana hamuwezi kuzifungua, mleteni David Jumbe Polisi tumfungue izo pingu..”-; Faustine Mafwele
26
168
1.4K
37.9K
mbise retweetledi
Mchokozi !!
Mchokozi !!@OleMtetezi·
Appreciation Tweet Kwa Bodaboda Waliokimbiza Gari La WATEKAJI Na Kumsaidia David Djumbe Kuweza Kutoroka
Indonesia
4
109
655
8K
mbise retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Haya mambo yanaumiza sana. Mungu mwema kikubwa ndugu yetu kapatikana akiwa HAI mengine MUNGU atalipia. Tutashinda.
Indonesia
19
106
520
12.9K
mbise retweetledi
Mnyawami
Mnyawami@jacksonmnyawam2·
Jana usiku tarehe 20 Mei 2026, Msaidi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa David Jumbe alitekwa na baadae alifanikiwa kuwatoroka watekaji akiwa na pingu mkononi baada ya Bodaboda kufukuzia gari la watekaji. Ameumizwa sana.
Mnyawami tweet mediaMnyawami tweet mediaMnyawami tweet mediaMnyawami tweet media
Indonesia
0
10
22
249
mbise retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️#BreakingNews‼️ Jana usiku tarehe 20 Mei 2026, Msaidi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa David Jumbe alitekwa na baadae alifanikiwa kuwatoroka watekaji akiwa na pingu mkononi baada ya Bodaboda kufukuzia gari la watekaji. Ameumizwa sana.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
44
166
607
22.5K
mbise retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️ALERT ‼️ Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka. Ikumbukwe asubuhi hii chama kilikuwa kinatarajia kufanya press.
Indonesia
13
95
550
14.1K
mbise retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Tundu A.M Lissu alikamatwa akiwa Mbinga, Ruvuma Aprili 9, 2025. Tangu tarehe hiyo ya kukamatwa (Aprili 9, 2025) hadi leo (Mei 20, 2026), zimepita siku 406. Februari 24, 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo ya Dar es Salaam) iliahirisha kesi hiyo kwa muda usiojulikana (sine die). Shauri la msingi likasimama. Hatua hii ilikuja baada ya upande wa Jamhuri kuwasilisha shauri la mapitio/rufaa katika Mahakama ya Rufani ya Tanzania kupinga uamuzi mdogo wa Mahakama Kuu. Tangu upande wa Jamhuri ukimbilie Mahakama ya Rufaa na kesi ya msingi kusimamishwa (Februari 24, 2026) hadi leo (Mei 20, 2026), jumla zimepita siku 85. Tunawauliza Serikali, hamtaki kuendelea na kesi yenu dhidi ya Tundu Lissu? Ushahidi wenu hautoshelezi? Vielelezo vya kuthibitisha kesi yanu vimeyeyuka? Tunawauliza @judiciarytz, hamtaki kesi dhidi ya Tundu Lissu iendelee? Kwanini tarehe haipangwi baada ya siku 85 kupita? Majaji wa mahakama ya rufaa hawapo? Kama hamtaki kuendelea na kesi kwa njia za mahakama, muachieni huru Tundu A.M Lissu. Kama mnataka kuendelea na kesi yenu, pangeni tarehe haraka sana. Vinginevyo, mnaulazimisha UMMA kusimama na kumdai Tundu A.M Lissu. CHADEMA tunamtaka kiongozi wa chama chetu, uraiani. Tunasisitiza, #FreeTunduLissu.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
16
311
1.2K
25.5K
mbise retweetledi
Mwaura Robert
Mwaura Robert@MwauraRobert2·
Hii imezidi hatuwezi kuendelea kuishi ka wakimbizi ndani ya taifa letu.
Mwaura Robert tweet media
Indonesia
3
53
214
2.7K