mbossokhan

668 posts

mbossokhan banner
mbossokhan

mbossokhan

@mbosso_

TheAfricanVoice🌍 E.A Musician-Tanzania🇹🇿 Signed under WCB record lebel Artist|Songwriter|Actor|Guitarist For booking [email protected] For Your Love👇🏻

Tanzania Katılım Ağustos 2012
25 Takip Edilen27.5K Takipçiler
mbossokhan
mbossokhan@mbosso_·
Karibu Kusikiliza Ep Yangu Mpya Kabisa iitwayo #Khan Na Sasa inapatikana Kwenye Digital Platforms Zote Duniani #Khan #KHANEP #KhanFc
mbossokhan tweet media
Filipino
5
8
131
0
mbossokhan
mbossokhan@mbosso_·
Ep Yetu Ambayo Tunaisubiri Kwa Hamu inaitwa #Khan Kesho Tutaitambulisha Rasmi Pale @barrabeachtz na Kuanzia Saa Sita Usiku Baada Ya Utambulisho Rasmi itaanza Kupatikana Kwenye Digital Platforms Zote Duniani #Khan #KHANEP #KhanFc
Indonesia
1
2
28
0
mbossokhan
mbossokhan@mbosso_·
Alhamis Hii October 27 nitakuwa na Launch rasmi Ep Yangu katika fukwe za @barrabeachtz " Bahari Beach" Dar Es Salaam kuanzia Saa 12 jioni nikiambatana na Rafiki Mbalimbali, Kaa na Mimi kujua Unapataje Mualiko wako... ila je, we Unadhani Ep itakua na Nyimbo Ngapi na inaitwaje?
mbossokhan tweet media
Indonesia
0
2
19
0
mbossokhan
mbossokhan@mbosso_·
Dirty Files 🕸
mbossokhan tweet media
English
2
1
75
0