Naitwa L
1.2K posts


@kavuvi123 😂😂😂 Mimi kutoka asubuhi hadi notification ya mtu kulike, kufollow ama comment kwa tweets zangu hakuna
Indonesia

@RealNate08 Uza tu coz hatutashinda kuadvice watu hawataki kuskia
Indonesia

@John63681549 Kuna watu wanakuanga ivo, msee analilia kazi but the moment anaipata anaanza kuharibu
Indonesia

@newto_code_14 Amekuwa mwingine aliniambia hio time ya kuvaa cd anaonanga ikiwa long sana😂😂😂
Indonesia

@mkolonimemes Green app kuangalia labda watu weminitext coz notification nakuanga nimeeka off
Filipino

@ambuikem Tuache uongo ata kama ni kupeana moyo
Filipino























