MipangoApp

1.1K posts

MipangoApp banner
MipangoApp

MipangoApp

@mipangoapptz

Empowering women in Africa, to achieve Financial Stability

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2019
191 Takip Edilen608 Takipçiler
MipangoApp retweetledi
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
ElimikaWikiendi kwa kushirikiana na Mipango Fintech, tunakuletea mjadala muhimu kuhusu Mikopo ya Kidijitali ndani ya #ElimikaWikiendi. Fahamu kuhusu waelimishaji wetu kutoka kampuni na taasisi kongwe za kifedha zinazoaminika zaidi nchini. USIKOSE!
#ElimikaWikiendi tweet media#ElimikaWikiendi tweet media#ElimikaWikiendi tweet media#ElimikaWikiendi tweet media
Indonesia
0
14
20
1.1K
MipangoApp
MipangoApp@mipangoapptz·
We had the pleasure of meeting Mr. Jurriaan Middelhoff (@jurriaanm), the Netherlands Youth Ambassador, at @AnzaHub with @PesaTechAfrica startups. Discussed Fintech and growth opportunities through the PesaTech Acceleration Program. Thanks to all for making this happen!
MipangoApp tweet mediaMipangoApp tweet mediaMipangoApp tweet mediaMipangoApp tweet media
English
0
2
2
156
MipangoApp
MipangoApp@mipangoapptz·
Pole kwa kupoteza Mzazi Pole kwa kupoteza Ndugu Pole kwa kupoteza Rafiki Pole kwa kupoteza Biashara Mungu awape faraja #Kariakoo 🕯️
MipangoApp tweet media
Polski
0
0
0
50
MipangoApp retweetledi
Digital for Development (D4D) Hub
The #ThinkLikeAnInvestor call has successfully wrapped up, and we’re thrilled to announce that 10 exceptional DSIs have been chosen to move forward! They’ll receive tailored workshops, mentorship, and capacity-building to transform their projects into high-impact solutions.
Digital for Development (D4D) Hub tweet media
English
0
2
2
551
MipangoApp retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Matumizi sahihi ya pesa huanza na mipango. Kijana usidharau kipato chako njoo kwenye warsha ya #NIKONEKT utakutana na @mipangoapptz watakupa elimu nzuri sana 13.09 pale Sayansi Kijitonyama Gharama 20,000 Kupata tiketi 0694 490 578
Adventure-360 tweet media
Indonesia
0
12
14
1.3K
MipangoApp retweetledi
Gift Kimaro
Gift Kimaro@GiftKimaro7·
Usimamizi wa fedha ni njia mojawapo ya kufanikisha malengo yako. @mipangoapptz watakuwepo #NIKONEKT kukupatia elimu zaidi. Kijana hii warsha ni muhimu sana usikose kwa gharama ya Tsh 20,000 📞 0694 490 578
Gift Kimaro tweet media
Indonesia
1
12
17
637
MipangoApp retweetledi
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
Ni mwanachuo unayetafuta mbinu bora za kusimamia BOOM lako? Ni mjasiriamali mdogo unayetafuta mbinu bora za kusimamia fedha zako? Karibu #NIKONEKT, Mipango Fintech watakufundisha jinsi ya kupanga bajeti na kuweka akiba kwa mafanikio ya muda mrefu.
#ElimikaWikiendi tweet media
Indonesia
0
16
22
1.5K
MipangoApp retweetledi
Bunny:)
Bunny:)@mizzpickles·
Usimamizi wa fedha kwa vijana unaanza na nidhamu binafsi. Je unazijua kanuni zote na namna bora ya kuweza kufikia malengo. Usikose warsha ya #NIKONEKT 13.09 pale Sayansi Kijitonyama @mipangoapptz watalonga Kwa gharama ya 20,000 📞 0694 490 578
Bunny:) tweet media
Indonesia
0
10
10
690
MipangoApp
MipangoApp@mipangoapptz·
Ni muhimu kujua ni wapi pesa yako inapotelea, kwa kurekodi matumizi yako ya kila siku, hii itakusaidia kupanga bajeti yako vizuri na kujua maendeleo ya matumizi yako ya pesa. Download application ya Mipango BURE kupitia playstore au App store bure. #Bossmaokoto #MjiniMipango
MipangoApp tweet media
Indonesia
0
0
0
50