Kalidayo
8.8K posts


@IsackIlamlila Nileteeeni 1VD LC 200 mkifika Bahi mimi ndo naondoka Kimara korogwe
Indonesia

@thenameis_Andro Hampo serious wala nn, mnatafuta kichaka cha kujificha Arsenal akibeba EPL
Indonesia

Hii rekodi tulikuwa tunaimaliza leo leo ili kwa Brighton tuongeze namba tu ila inaonekana mashabiki tupo serious na hii rekodi kuliko wachezaji wenyewe..
Either way.. equaling the assists is still the best achievement..
PFA Player of the season
#ElMagnificoBrunooo

Filipino

Chura hapa jamaa kamaanisha nini
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 @Maestrowafact
Kalidayo@mkalidayo30
@NMweusi85571 Na ni mwanachama wa gridi ya taifa
हिन्दी

@mkalidayo30 @NMweusi85571 Umeme wake unatokea bwawa Gani?????
Filipino


@mtondaabdallah Tanga kwa siku Abood pekee anapeleka gari zaid ya 15 lakin bado ni mkoa wa kipimbi, hizi findings zako ziko average sana
Filipino

Nimeziona juzi hapa Mwanga- Kgm.
Jamaa wanasema ni VVIP ChumaO distance kutoka Kgm hadi DSM.
Usafiri wa Treni kutoka Kigoma watu kibao.
Usafiri wa Ndege watu kibao.
Usafiri wa Bus zote zinajaa.
Kgm kuna fursa za uwekezaji ni mkoa ambao unakuja kasi sana.
After 5yr mtasema

Tanzania Bound Buses@TBoundBuses
Sasahivi #YehovaYire amejipata hapo Kigoma anatoa tatu kuelekea Dar-es-Salaam
Indonesia

@Jizzlewantandu Mwaka 2016 anavyofungua biashara ya maduka ya nguo walikuwepo kina Robby one,Makoba, Hussein Pambakali na wengineo? Vipi kama angesikiliza ushauri wako wa kijinga?
😆😆😆😆😆😆😆😆
Indonesia

@lifeofmshaba Hii jinsia kwenye mambo ya kutumia ubongo huwa haijiwezi, ni viazi sana
Indonesia
















