STREET_MKONGO24

3.4K posts

STREET_MKONGO24 banner
STREET_MKONGO24

STREET_MKONGO24

@mkongo_24_

Network Marketing internet service agent graphic designer DM for reliable service or business opportunity

Upper West, Ghana Katılım Aralık 2022
911 Takip Edilen514 Takipçiler
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Muda huu Wanaharakati UCHWARA wanafuatilia DERBY YA KARIAKOO kwa AZAM MAX… Alafu mpira ukiisha watakuja na zile za… “Tulikubaliana Tusishabikie mpira wa nyumbani…” Humu ndani kuna michezo saana😂😅🙌🏽
Indonesia
54
49
469
19.7K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Nimeitwa Sehemu kuwafanyia INTERVIEW wasomi wa BONGO, ENGLISH ni changamoto kwa WASOMI wetu. Mhitimu wa CHUO anashindwa hata kujieleza kwa Dk 1 tu🥹🥹🥹🥹🥹🥹
Indonesia
192
98
1.1K
63.4K
BarakaWambura
BarakaWambura@barakawamb·
Ndugu @HecheJohn zunguka kidogo duniani au jitahidi sana kusoma. Hivi vitu vidogo vinakuabisha. Unalaumu kukaa kwenye foleni saa 1 tena kwenye barabara ambayo Serikali ya Dkt Samia imeamua kuifanyia ukarabati ili uweze kupita kwa urahisi na haraka,hivi unajua kwamba hata hao unaopenda kuwatolea mfano nchi zao ndio zinaongoza kwa foleni kubwa? angalia Uingereza, watu wanatembea dakika 36 kwa Km 10nenda Toronto, Canada au uliza watu wanaoishi huko huwa wanakaa kwenye foleni mpaka wanaamua kupaki magari na kunywa bia kusubiri foleni ipungue. Punguza aibu ndogondogo kama hizi, unajidhalilisha na kuonekana mshamba.
BarakaWambura tweet mediaBarakaWambura tweet media
Indonesia
36
16
26
6.8K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Story za Mpira Upo Story za Madem Upo Story za Serikali Upo Story za Vita Upo Story za Maadili Upo Story za Katiba Mpya Upo Story za Uchumi Upo Story za Afya Upo Story za Elimu Upo Story za Dini Story za Hovyo Upo. Wewe ni nani..?
Slovenščina
161
103
514
20.4K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Ni mwalimu wangu, kumbe alikuwa Dean kabisa! Akiwa darasani alikuwa mwalimu mzuri ila sasa baada ya kutolewa jalalani yakaja ya muheshimiwa Mungu na maujinga mengine nikajisemea “Gudubai” mateso tunayapata sisi Munisamehe nilikuwa kijana mudogo 😂😂😂😂 @Sativa255 @TitoMagoti
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
38
97
873
41.2K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
Indonesia
777
53
466
165K
STREET_MKONGO24
STREET_MKONGO24@mkongo_24_·
Samahani nliskia umesema hausolve vipengele vya wateja uchwara🤚
STREET_MKONGO24 tweet media
Indonesia
0
0
0
16
Pili Msagati
Pili Msagati@MsagatiPili·
Picha hii nimetumiwa na mtu wa ndani sana wa Chadema, kwenye vikao vya ndani vya Chadema anavyohudhuria mwenyekiti akiwa kwenye ziara zake mikoani, huwa nguvu ya fedha inatumika sana kukusanya wananchi. Kuvutia zaidi, kuna muda mwenyekiti anasimamia zoezi mwenyewe.
Pili Msagati tweet media
Indonesia
159
3
46
26.6K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna hii mashine hata uwe umekunjwa pombe za laki tano yaani mtu kalewa hadi hajielewi akigusa tu hii inakata pombe yote kichwani🙌
Kante tweet media
Indonesia
13
11
49
5.5K
TANZANIA BUSES NATION
TANZANIA BUSES NATION@BusesNation·
Chuma Mbili zote zimeshikiliwa Namanga Kidia CLIMBER ya Mirungi , Bangi Kidia D14 ya Chatu
TANZANIA BUSES NATION tweet media
Indonesia
15
6
126
11.5K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Turudi kwenye HARAKATI SASA-tunaanzaia wapi wanangu?
Indonesia
41
77
771
19.4K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kwa sasa @elonmusk amesema thamani ya maokoto itakuwa ina uzito zaidi endapo creators watakuwa wanaweka video zao halisi. Sasa leo napandisha video yangu 2018 huko nikiwa nimedoji kazi za makamanda mbalimbali nikiwa kuruti wa mujibu wa sheria . Sasa the good thing ni kwamba hii video ilikuja kutrend sana kwa wapopo wakifananisha mgonga ulimbo na mchezaji wa chelsea Ng'olo Kante📌
Indonesia
27
14
108
7.3K
Mkolehe
Mkolehe@spireafrica·
@fbuyobe We mzee usiku ushakuwa mwingi😅..na mishahara bado haijaingia Vichwaaa viko motoo Code zinginee uweke Mafuta kidgo utakuja kutupasua Vichwa😅...Kindly nawasilisha
Indonesia
1
0
6
1.1K
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
TAARIFA KWA UMMA
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
38
18
65
10.7K
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Wabongo tunapenda ku support ujinga sijui nani katuloga sasa kwa mfano hii movie ina maajabu gani sasa
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
113
18
409
37.9K
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Hakuna walichokifanya hapa wanapoteza muda tu na hakuna kitu wata archive Mambo ya streaming tuwaachie watu wa mbele
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
82
13
201
80.7K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Nyerere wa kuchoma!!! 😂😂😂
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
128
76
917
32.9K