The Most Powerful Piece of Advice,
Starting with Myself.
Your Five daily Prayers, Hold on to them, Work on them, Become Strong on Them, and See the Miracles That Start Happening In Your Life.
Ramadhan 27
Allahumma inni as’aluka ‘ilman naafi‘an wa rizqan tayyiban wa ‘amalan mutaqabbalan.
Maana:
Ewe Mwenyezi Mungu, nakuomba elimu yenye manufaa, riziki njema, na matendo yanayokubaliwa.
Ramadhani 25
1. Qiyamul-Layl (Tahajjud)
2. Kusoma Qur’an
3. Kufanya Dua nyingi
4. Kusoma Dua ya Laylatul Qadr
5. Kufanya Dhikr
6. Kutubu kwa dhati
7. Kutoa Sadaka
8. Kuamsha familia kwa ibada
9. Kufanya Iʿtikaf (kama inawezekana)
10. Kuomba kwa unyenyekevu na matumaini
Ramadhan 21
Allahumma ihdini wa thabbit imani, waj‘al qalbi mutma’inan bidhikrika.
Maana kwa Kiswahili
Ewe Mwenyezi Mungu, niongoze, uimarishe imani yangu, na ujaalie moyo wangu utulie kwa kumkumbuka Wewe.
Ramadhan 20
Allahumma innaka ‘afuwwun tuhibbul ‘afwa fa‘fu ‘anni.
Maana kwa Kiswahili:
Ewe Mwenyezi Mungu, hakika Wewe ni Mwingi wa kusamehe na unapenda kusamehe, basi nisamehe.
Ramadhan 19
“Na wanawake wanayo haki sawa na zile zinazostahili kwa wanaume kwa yaliyojema, lakini wanaume wana nafasi juu yao. Na Allah ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima.”
Surah Al-Baqarah (2:228)
Ramadhan 16
Rabbi inni limā anzalta ilayya min khayrin faqīr.
Maana yake:
Mola wangu! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri yoyote utakayoniteremshia.
(Surah Al-Qasas 28:24).
Ramadhan 13
Mtume Muhammad (S.A.W) alisema:
“Mwenye kumsamehe mwenzake, Mwenyezi Mungu humzidishia heshima.”
(Imepokewa na Muslim)
Tusameheane Ili Kupata Radhi za ALLAH(S.W) 🙏
Ramadhan 12
Surah Aal-Imran 3:16
“Rabbanaa innanaa aamannaa faghfir lanaa dhunuubanaa wa qinaa ‘adhaaban-naar.”
Maana:
Mola wetu, hakika sisi tumeamini; basi tusamehe madhambi yetu na utulinde na adhabu ya Moto.
Unity is strength.
All your life, you must stand by one another.
No brother should be allowed to fail while another brother succeeds.
#HappyChineseNewYear2026