Sabitlenmiş Tweet
mon🫴🏽
530 posts



LEO TUFUNGE LOKOO NA COMMENTS ZA KUTOSHA #MO29 ISHARA YA UTAYARI WANANGU.🔥🔥
REPOST 500
#MO29
#SiriNiNamba
#OktobaTunatoka
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Filipino

Kipindi cha pili kimeanza.
Taarifa za kila mara kuhusu mchezo zitatolewa kupitia Simba App. #CAFCL #NguvuMoja

Filipino

Goli la Mama limefika 💰💰💰
Asante Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa zawadi ya Tsh. 15,000,000 kama zawadi ya mabao matatu tuliyowafunga Nsingizini Hotspurs. #NguvuMoja




Indonesia

@zoetjesheeftX Ufugaji unachangamoto lakini unafaida, muhimu kujiandaa nakujua wakati gani sahihi wakuanza kufuga, then mtaji kutokana na idada ya mifugo unayotaka kuweka 😏
Indonesia

Jitahidini sana kuwa na akili zenye mafanikio juu ya wengine, Tangu nitazame haya ma group ya ufugaji hakuna anae posti Pesa anazo vuna kupitia hao kuku, ili kuwapa moyo wengine nao wajitahidi kusimama, wakati unapata faida hupost wala huongei siku akifa ata mmoja au akiumwa tu unapost na maneno mengi ya kuwafanya wengine washindwe hata kuanza ufugaji, Mtu ana zaa mtoto na anamlea kwa muda mfupi anafariki, itakua mifugo kila kitu kinahitaji subira utulivu malengo maamuzi, wafugaji em Tujitahidi kuwa tunapost vitu vinavo washawishi na wengine wajiajiri, mafunzo na kuwapa hamasa, kama ufugaji ni hasara mbona Hatuwachi kufuga izo kuku.
Indonesia

















