Mr tairo

23.3K posts

Mr tairo banner
Mr tairo

Mr tairo

@mr_tairo

📍Home Of Jokes | Just For Fun

Mkuu, Rombo Katılım Aralık 2019
1.3K Takip Edilen6.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Kwa watumiaji wa Airtel kuna huduma ya SME inakuwezesha kupata GBs Kwa Gharama nafu. ✅Ukiwa na tin namba ✅Namba ya Airtel ambayo ni ya matumizi binafsi Njoo nikufanyie activation baada ya activation utapata menu Mpaya ya vifurushi *149*91# Gharama ni Tsh 10k Call 0679764983
Mr tairo tweet media
Indonesia
2
13
21
33.2K
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Kelele Kibao My Man My Man Alafu Ukipata Shida Ya Elfu Tano Unaaza Kutusumbua😂
Indonesia
0
0
4
183
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Acc 100 zishushe hendo tuzifolo chap hapa
Indonesia
39
9
41
3.2K
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Humu bila group za kuinuana sitoboii
Indonesia
0
0
3
135
Mr tairo retweetledi
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Fungueni TBC mambo yamevurugika
62
15
205
50.5K
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Hakuna Kitu Kinawaumaga Wadada Kama Kuachwa Baada Ya Kuliwa
Indonesia
0
0
1
120
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Sasahivi Nafunzwa Na Ulimwengu Lakini Bado Sielewi Kweli Mjinga Ni Mjinga Tu😅
Filipino
0
0
2
109
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Unakumbuka Ule Mpira Wa Shaulini Soka. Ndio Mpira Simba Watacheza Na Hamta Amini Kima Nyie
Filipino
0
0
2
99
LoyalNation💰
LoyalNation💰@Loyal_tips_tz·
Drop kwenye comments picha Kali kuliko hii 💯😣♥️🥰😋👇
LoyalNation💰 tweet media
Filipino
13
4
17
602
Mr tairo retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Wapwa naanzisha group la kuinuana humu, mwisho leo kujiongeresha . Shusha handle nikuadd hata kama una followers wawili make sure umenifollow hapa iwe rahisi kuku add
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
91
39
167
18.4K
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Tuendelee Kupambana Bila Kuwadharau Wengine, Sababu Muda Umewanyamazisha Wengi
Indonesia
0
0
1
89
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Imagine unaenda motoni kwa dhambi ya uwongo eti "nakupenda pia" 😂
Indonesia
0
0
3
164
Mr tairo
Mr tairo@mr_tairo·
Mtu Akikuangalia Hawezi Amini Ulibatizwa, Na Uliulizwa Kama Unamkataa Shetani Na Mambo Yake Yote, Ukajibu Namkataa.😅😅
Indonesia
0
2
3
148
Mr tairo retweetledi
Bixen
Bixen@heisbixen·
Leo tukutane Na Majibu ya Ka-challenge kidogo Challenge;- Mtumie rafiki yako text "Nimetingwa hapa, naomba nisaidie elfu kumi" akijibu screenshot tuone aina ya marafiki ulionao.. 😂.!! 1.
Bixen tweet mediaBixen tweet media
Filipino
36
38
612
147.2K
Mr tairo retweetledi
Maverick 🇸🇴
Maverick 🇸🇴@Enemy_19·
Ndugu zangu, familia, marafiki zangu, Jana nilipata ajali majira ya jioni kwenye saa kumi kuelekea kumi na moja Niligongwa na bajaji maeneo ya makongo mwisho nilipoteza fahamu pale pale nikaja kuzinduka nikiwa njia karibia nifikishwe Palestina Baada ya kufika Palestina
Maverick 🇸🇴 tweet mediaMaverick 🇸🇴 tweet media
Indonesia
281
401
1K
156.4K
Mr tairo retweetledi
Maverick 🇸🇴
Maverick 🇸🇴@Enemy_19·
Watu wanasema ooh nguvu ya kupost napata wapi, wakuu sijaumia kwingine zaidi ya mguu kuvunjika.
Maverick 🇸🇴 tweet media
Indonesia
366
171
1.6K
162K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kama umeamka salama Weka hendo yako tukufolo hapa
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
34
7
58
6.8K