🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid·2d#TajiriLaKihaya Ukiwa unatumia iPhone na MOBILE DATA bila WIFI… Ni sawa sawa na mtu anaetumia Salio la Vocha bila kujiunga Kifurushi😅🤣😂Çevir Indonesia354753422.9K17
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿@Elsukay0·2dWalio mtesa yesu mpaka kumuua wanakula bata na kuenjoy maisha kuliko sisi waafrika ambao tunamuabudu sana hii imeaaakeje?Çevir Indonesia1016632.7K1
MAESTRO 🎭@maestrochance_·2dUsihangaike sana kutafuta upendo ama mapenzi ya kweli , labda mtu ambae ilibidi mpendane alisha kufa.Çevir Indonesia71836749
Andeka@Primeandeka·2dMy boy alikatia customer service wa safaricom jokingly akamshow achukue number amcall😅😅😅 guess what leo tunapikiwa pilau😂Çevir English1444874.5K485.2K104
Uncle chitemo@Mikumifinest·2dKwenye biashara unaona asubui kuna mtu anakuja kuomba chenji ya 10k unadhani kweli anahitaji chenji . Jichanganye sasaÇevir Indonesia712481.6K3
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·2dJamaa anasema anadaiwa 45M na anadunda mtaani, hii hali ya kuzoea madeni ifundishwe darasani 😂mbona ni ngumu sana.Çevir Filipino413660316.8K19
ClassMonitor 👩⚕️@daktariwawatoto·2dKipi kina haribu maisha ya mwanaume haraka? 1. Porno video 2. betting 3. Wanawake 4. Pombe 5. DharauÇevir Indonesia672636237.1K10
killo_Killotz@killo_killo11·3dUkipata muda fika tanga bro utanishukuru baadae.😁Çevir Indonesia1011381.6K
Aruatani ✨@Aruatani·3dKila ukipanda Majukwaani ni Arena... Arena... Qumamako, hilo jambo zuri kamwambie Mama yako 🚮Çevir Filipino475352421.5K7
The mandevu@ze_mandevu·3d"Mtu uliye mwambia asiniambie ameniambia nisikwambie." 😂Çevir Indonesia10463766.3K7
kasesco☆@kasesco_tz·3dPunguza kula kula kila kitu. Mayai ya kuchemsha wewe, mahindi ya kuchoma wewe, keki wewe, pombe wewe, juisi wewe, wali wewe, pilau wewe, ndizi wewe, nyama wewe. Kuwa na mpangilio.Çevir Indonesia1623902.3K4