Nald Clever
1.1K posts

Nald Clever
@naldclevertz
Musician Artist ▪Fashion ▪ Tz Unique Boy LittleHandsome/ CoolestBoy 28 Oct 🎂🍾🍸 Ig @naldclever Fb Nald Clever Snapchat @naldclever
Tanzania Katılım Temmuz 2013
111 Takip Edilen75 Takipçiler

Hamfikirii hii narrative yenu ya kupika inaidhalilisha dola?
Wakati hayo yakifanyika vyombo vyote vya dola INTELIJENSIA YA JESHI, TISS NA POLISI walikwenda likizo?
Kazi yao ni nini kama hawana uwezo wa kugundua njama za machafuko, hujuma na mauwaji nchini na kuzuia au kukamata?
Gerson Msigwa@MsigwaGerson
YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain
Indonesia


If you want to grow as a man, be ready to become a bad guy with good intentions.
#CleverBoyMind #NaldTheAce
English

@joeselasini @HecheJohn Mzee wangu heshima yako, wapo watu wengi wanataman kukufatilia mitandaon, lakin wanashindwa kukupata kwasababu ya jina unalotumia, kwann usiweke moja kwa moja @josephselasini2026
Indonesia

@HecheJohn jana nilikuwa ktk kikao cha TCD. Ilikuwa Chadema ikabidhi uenyekiti na kwa kuwa haina mbunge wala diwani iwe mwisho wa kuwa member.
Nilijenga hoja ktk spirit ya mashikamano na kwa kuwa madai ya haki ndio sababu ya kutoshiriki uchaguzi kanuni zibadlilike ili Chadema
Indonesia

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kama yeye asingekuwa Rais wa Marekani, Papa Leo XIV asingekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani akisema Kanisa hilo lilimchagua Leo kuwa Papa sio kwasababu ana sifa kuliko wengine bali ni kwakuwa ni Mmarekani na walidhani watamtumia yeye kumshughulikia Trump.
Rais Trump amesema ““Simtaki sitaki Papa ambaye anamkosoa Rais wa Marekani kwa sababu mimi ninafanya haswa kile nilichochaguliwa, kwa kishindo kikubwa, kufanya kuweka rekodi ya chini kabisa ya uhalifu na kuunda soko la hisa Kubwa zaidi katika Historia, Papa Leo anapaswa kushukuru kwa sababu kama kila Mtu anavyojua, yeye alifanya kila Mtu akapigwa na mshangao hakuwepo kwenye orodha yoyote ya kuwa Papa, na aliwekwa huko na Kanisa kwa sababu yeye ni Mmarekani na walidhani hiyo ndiyo njia bora ya kushughulika na Rais Donald J. Trump”
“Kama mimi nisingekuwa Ikulu, Leo asingekuwa Vatican, kwa bahati mbaya udhaifu wa Leo katika uhalifu, udhaifu katika sila za Nyuklia mimi haunifai na ipo wazi na haiondoi ukweli kuwa yeye Papa Leo hukutana na wanaomuunga mkono Obama kama David Axelrod, Loser kutoka Mrengo wa kushoto, ambaye ni mmoja wa wale waliotaka Waumini wa Kanisa na Maofisa wa Kidini wakamatwe, Leo anapaswa kujirekebisha kama Papa, atumie akili ya kawaida aache kuwahurumia Watu wazito wa Mrengo wa kushoto na ajikite kuwa Papa mkubwa, sio Mwanasiasa, hii inamuumiza sana yeye, na muhimu zaidi, inaumiza Kanisa Katoliki”
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

When you go outside, show them why you were inside..🤟🦂🌱
#CleverBoyMind #NaldTheAce
English

Bro,
Anyone who connects you to make money is automatically family.
Keep them close.
#CleverBoyMind #NaldTheAce
English

You're a man.
NOTHING will be handed to you.
You will have to pay the price of loneliness, pain, failure, rejection, loss, disrespect, and setbacks to win in life.
No shortcuts my boy. 💪.
#CleverBoyMind
English

97% of Women are in the wrong home Because of Money, A lot of Men are in the wrong marriages Because of Beauty.
#CleverBoyMind
English

The bread they're expecting us to beg, we shall bake it and give them Some for free..
#CleverBoyMind🤑🤟🦂🌱
English

The Bible says " love never fails" so if it fails, it wasn't love.
#CleverBoyMind 🦂🌱🤟
English

We took some risk that didn't pay off lol!, but we still gonna take more risk until it pays off.🤟
#CleverBoyMind #NaldTheAce🦂🌱
English

Siku kama ya leo ni Maalum na muhimu kwa wale Wanawake wa nguvu,wenye Hofu ya Mungu,Wapambanaji,wenye uthubutu na wanaoweza simama ata peke yao.
Mm naamini ata ww Mwanamke unayesoma hapa ni mmoja wao.
-Happy-WOMEN'S Day-to you.
#CleverBoyMind #NaldTheAce
Indonesia

We want a lot.
So we must do a lot.
A lot of working. A lot of praying.
A lot of manifesting. A lot of consistency.
Happy New Month, my G 🤟✨
#CleverBoyMind #NaldTheAce
English

@Roma_Mkatoliki Polepole alushauwawa muda,.. itoshe kuamin hivyo, hakuna alipofichwa muda wote uo
Indonesia

To you’ll my dear activists na raia wengine wema!! Najua how desperate we are especially na hizi ongoing issues.
But please please please tusipoteze credibility tulizozijenga kwa kutoa taarifa ambazo
A. ni za uwongo, tena ulio wazi.
B. Tusiwe na haraka ya kutoa taarifa ambazo hazina ulazima kabla hatuja confirm.
Unless iwe taarifa ya dharura sana!
Unajua sometimes hawa hawa chawa wa kijani&njano ndio wanakujaga DM na parody acc then wanakutext kiongozi fulani yuko hoi kalazwa Mzena!!
Its obvious kwa yaliyotokea ukipata taarifa kama hiyo unakuwa na shauku ya kuwajuza watu….NO JIZUIE!! Hold Yourself.
Chunguza kwanza, usikimbilie kupost then masaa machache kiongozi anaonekana anahutubia yuko healthy!! Anakuwa amekupiga K.O
Unapoteza credibility!!
Hata hizi story za kuna kisiwa comoro wanaotekwa wanapelekwa huko, binafsi
i dont buy it….siwaoni kama hawa makatili wana muda wa kuinvest eneo nje ya nchi kufanya hayo na kuhifadhi watu kwa kipindi chote hiko.
Story za kuna handaki kigamboni waliotekwa wako huko…I dont think so!
We angalia tu majeruhi wa oct 29th waliwaua hospital wengine kuwatupa mochwari wafie huko ili tu kuua ushahidi chap kwa!!
Leo ndio mtu waliemteka waishi naye muda wote huo…means wana kazi ya kumlinda na kumhudumia daily!!
Ina add up kweli hiyo?
Nways lets try to be more smart katika hizi
mbanga…..wananchi wanatuamini sana tusipoteze hiyo imani kwa post za social media!!
Filipino

@Aruatani Jamaa aliyejiekeza kwenye kuaribu vijana na vileo vikali kabisa
Indonesia

You can't step into the next level without stepping out of the old you.
Pay the price.
#CleverBoyMind
English




