NDASSA=P O T 👉 🇹🇿
646 posts

NDASSA=P O T 👉 🇹🇿
@ndassa_potmd
YUKO MUNGU..... 🙏
Iringa Mafinga Tanzania Katılım Şubat 2026
1.2K Takip Edilen136 Takipçiler

Wagonga ulimbo tukamuinue @Fumbo_khan ni dokta wa kuku
Akaunti yake ikue apate wateja wengi.
Uzuri anafollow back pitia bio yake anawafollow mataita wasiomfollow back

Indonesia

Kesho machi 29 ni maombolezo ya Taifa zima .
Ni siku ya kumbukumbu ya Mashujaa wetu zaidi ya elfu kumi ambao Idd Amin Mama na washirika wake waliwauwa Oktoba 29 kwa risasi.
Katika kuadhimisha siku hii kesho tutakuwa na mjadala ambao utakuwa LIVE kupitia @MO29TV mitandao yote ya kijamii so usipange kukosa!

Indonesia

@HildaNewton21 @MO29TV Nyie endeleni na ujinga wenu wa kuvuruga amani kwan mnacho kitafuta mtakipa tyu endeleen tyu
Filipino

Ewe Mwenyezi Mungu,tunaendelea kukuomba umlinde Mwenyekiti na kumpa afya njema,naamini kwamba tutafurahi nae hivi karibuni.Nina Imani na uwezo wako baba,nina Imani na nguvu yako.Kile Kilichobaki moyoni mwangu ni Imani peke yake.
Baba naiombea nchi yangu Tanzania.Baba bariki nchi hii baba .Wewe umekuwepo nyakati zote na unaendelea kushuhudia udhalimu unao endelea nchini .Jehova waTanganyika wananyanyasika,wanapitia magumu nchini mwao baba.Tusikie kilio chetu na ututendee haki.
Tenda Yesu,Tenda eee Jehova.Tenda El ROI.
Amina.
It shall be well Mwenyekiti.🙏

Filipino





























