@Chamgeifm1 Mimi kama nyumba kumi namuambia tu huyo lady akubali waishi na huyo jamaa maybe pesa za kisiagi ni tamu alfu huyo mama akue akisiaga mahindi ili wengine waokolewe juu ni kama sio huyo mama pekee @djkipro1@Chebolongisa3
Namsalimia mwalimu mmoja aliitwa Mr Mamuty kutoka shule ya Njoro precious primary school yeye alikua anajua kukaribia wanafunzi sana Kwa upole lakini ungefamya makosa ungejua yeye Ako shulee kikazi sio kupembeleza #GoodEveningKenya
@RadioCitizenFM Namsalimia mwalimu mmoja aliitwa Mr Mamuty kutoka shule ya Njoro precious primary school yeye alikua kukaribia wanafunzi sana Kwa upole lakini ungefamya makosa ungejua yeye Ako shule kikazi sio kupembeleza #GoodEveningKenya
@Chamgeifm1 maybe huyo jamaa hamakize last mile conectivity vizuri ndo maana huyo Dem amechoka na yeye Sasa huyo jamaa ajichunguze vile anaworkshope @djkipro1@Chebolongisa3