Honama Furniture

1.8K posts

Honama Furniture banner
Honama Furniture

Honama Furniture

@noreformsno

Njoo WHATSAPP LINK https://t.co/ucZKVl97pO 0758988187 #Furniture zote zinapatikana kwetu malipo ni baada ya kupokea mzigo wako

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2023
530 Takip Edilen99 Takipçiler
Honama Furniture
Honama Furniture@noreformsno·
@IamGabby_01 Kama unalishwa kitimoto unatafuna na kinaingia tumboni fresh, baada ya hapo huumwi wala hutapiki. Bc kula kitimoto sio dhambi.
Filipino
1
0
1
8
GABBY
GABBY@IamGabby_01·
Hii sio sawa kabisa, kama mtu hutaki kufuturisha watu siuache tu, kuliko kumlisha mtu chakula asichokula. Ni vyema kuheshimu dini za watu 🤝.
GABBY tweet media
Indonesia
95
19
115
14K
Honama Furniture
Honama Furniture@noreformsno·
@mangekimambi @POTUS Marekani atumie mabilioni yake kuwaokoa wananchi wa Iran. Hiyo sababu ni scapegoat tu, kuna sababu nyingne ambazo ndio sababu
Indonesia
1
0
2
375
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu @potus on this Iran war mtanielewa in due time……. Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake. 1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage inayofanyika kwenye nchi yao wameamua hivi kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yao. 2. Trump ameitikia wito wa wananchi wa Iran, kuwaokoa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Marekani. 3. Israel imeitikia wito wa Wananchi wa Iran kuokolewa na serikali ya wauwaji kwa manufaa ya mbeleni na survival ya nchi ya Israel. 4. Mange Kimambi namsapoti Trump kwenye vita hii kwa manufaa ya mbeleni ya nchi ya Tanzania. 5. Chama cha CCM kipo upande wa Islamic republic na mpaka wanamlilia Khamenei kwa manufaa ya mbeleni ya chama chao. Wanajua Iran akishindwa hii vita basi madikteta wote duniani wako on notice. 6. Jiulize wewe upande ulioko kwenye hii vita una manufaa gani ya mbeleni ya nchi yako? Ukishapata jibu jiangalie kwenye kioo jiulize je wewe ni Low IQ au high IQ??? Maana kila mtu mwenye high IQ anaangalia hii vita kwa manufaa ya mbeleni ya nchi yake ila wewe unafata ushabiki maandazi usio na manufaa ya mbeleni ya nchi yako.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
198
90
696
47.4K
B9
B9@Boluwatiiffee·
Guesss the player
B9 tweet media
English
4.1K
443
21.5K
11.4M
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Mamlaka za Uangalizi wa Mwezi nchini Saudi Arabia (Supreme Court/Moon Sighting Committees) imetangaza kuwa mwezi wa Shawwäl haujaonekana jioni ya Machi 18, 2026 hivyo Eid ul-Fitr itakuwa ljumaa, tarehe 20 Machi 2026. Alhamis ya Machi 19, 2026 itakuwa siku ya mfungo wa 30 wa Ramadhani. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
15
20
496
31.7K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Mwaka 2020 nilipata kaz pale Kigamboni TAIFA GAS mitungi 300 isiyo na gas muishushe yenye gas 300 ipandishwe kwenye gari kwa siku Elfu 20 nilifanya nikapumzka ule muda was folen kuchukua malipo nikapewa elf 10 nikaambiwa wewe ulitegea.....MAISHA YA KWELI aisee sikurud tenaa
Indonesia
17
34
519
26.9K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Ni sahihi kusema Kilimanjaro ndio Mkoa wenye mmoja wapo wenye Wanawake warembo zaidi? Yaani ukitaja tatu bora mkoa huu haukosi?😀
Indonesia
61
23
502
29.9K
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Hapa kijiweni Mjadala ni mzito! Kati ya Sigara na Bangi kipi ni Hatari zaidi? Nimeongea hadi nimechoka 😂
Filipino
55
40
355
24.9K
Honama Furniture
Honama Furniture@noreformsno·
@BesteNicolas Acheni ushamba na ujinga, AZAZEEL sio kitabu cha shetani ni kitabu cha mtu mwenye logic aliekuwa alijiuliza maswali yenye logic kuhusu mungu, imani, dini, nature
Indonesia
0
0
1
52
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Kwanini Shetani hajaandika kitabu chake na Yeye ajitetee mule tuone hoja zake 🤔
kijana mpole tweet media
हिन्दी
41
9
121
6.3K
Francis
Francis@Sharb84·
@EduTalkTz Nadhani tatizo ni concept yako ya utajiri. Unaweza usiwe na mali lkn ukawa tajiri. Ndo maana ukimwambia bilionea yoyote anaeteseka na Kusukari au kansa stage ya mwisho, ukamwambia atoe mali zote apate Afya,atakubali. Utajiri ni zaidi ya Mali.
Indonesia
10
1
14
626
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa nini Mungu aliamua kati ya hawa wamama wawili, mmoja awe tajiri na familia yake iishi kama malaika na mwingine awe maskini na familia yake iishi kwa tabu na mateso??🤔🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
44
7
141
9.2K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa. Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa. Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari kupigwa pini na serikali ilianzia hapa, kifo cha ITV na media zingine kubwa kilianzia hapa na mara nyingi nilikiwa natoa warning kwa Watanzania kipindi cha Magu, nikiwaambia hii system mnayoruhusu Magufuli aijenge eti sababu anawaita wanyonge na kusema mliibiwa sana mkae mkijua ndio haitofutika tena bila damu kumwagika. Nilikuwa nawaambia hii all the time and sure enough aliemfata akaendeleza kwa speed ya 5G na akaongeza ukatili mara elfu 10. Mnao mliliaga huyu kiumbe mlilieni tu ila pia msijitoe akili, mkubali kuwa mateso tunayopitia sasa hivi chimbuko ni Magufuli…… I hope tumejifunza kitu na huko mbeleni hata mtu gani atuite wanyonge hatutompa unchecked power. Now let’s fight to undo the mess Magufuli started, tulete haki kwenye nchi yetu ili tuweze kuwa na amani. HAKUNA AMANI BILA HAKI NA HATUTAKI AMANI KAMA HAKUNA HAKI. SIO SISI TUKOSE HAKI ZETU NA RAHA KWENYE NCHI YETU ILA KUNDI DOGO LA MAFISADI MNATULAZIMISHA TUWAPE AMANI ILI MU ENJOY MALI ZENU MLIZOTUIBIA KWA AMANI. BORA TUKOSE WOTE…… NARUDIA EITHER HAKI ITOLEWE AU TUKOSE WOTE!!!!!!!
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
190
278
1.5K
94.8K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Pastor analindwa na KK Security, waumini wanalindwa na maji ya kunyunyiza. Uchawi upo aisee..
Indonesia
26
54
351
10.5K
Honama Furniture
Honama Furniture@noreformsno·
@godbless_lema Mazuri yake yabafunika huo ubaya. Hata Chadema wakiingia madarakani mabaya mengi tutayaona. Kuwaaminisha watanzania hayo usemayo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa🙂
Honama Furniture tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
2
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Leo tunakumbuka miaka mitano tangu kuondoka kwa John Magufuli. Lakini kumbukumbu ya kweli haiwezi kufutwa wala kupambwa lazima iseme ukweli. Kipindi chake cha uongozi kiliacha alama nzito , hofu ya kisiasa, kubanwa kwa uhuru wa kujieleza, na maswali makubwa juu ya haki katika chaguzi na ukatili mwingi. Haya si maneno ya chuki, ni kumbukumbu ya waliopitia mazingira hayo na waliolazimika kunyamaza. Tuseme wazi bila kupepesa macho, mifumo ya ukandamizaji na hofu iliyojengwa kipindi hicho bado inaathiri namna siasa na uchaguzi vinavyoendeshwa hata leo. Hii si historia iliyopita tu ni sehemu ya changamoto tunazokabiliana nazo sasa. Kumkumbuka leo si kuhalalisha yaliyopita, bali ni kusisitiza wajibu wetu wa kuyakataa. Hatutaki taifa linaloongozwa kwa hofu, tunataka taifa linalojengwa juu ya haki, uhuru, na uwajibikaji. Kumbukumbu hii iwe wito. Tusinyamaze. Tusisahau. Tusirudie na kuendelea na makosa yale yale.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
136
148
974
44.8K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Rais Dkt. Samia, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau (11) ambaye alichukuliwa mikononi mwake na Mzazi mwenzake aitwaye Anthony Regani Njau (30) tangu mwaka 2021 na Mtoto huyo amepewa Mama mmoja ambaye amemuasili (adopt) na kumgeuza Mtoto wake huku Mama mzazi akidanganywa kuwa Mtoto yupo masomoni Marekani wakati yupo hapahapa Dar es salaam. Mwandishi wa @AyoTV_, Bakari Chijumba amefika Mabwepande anapoishi Juliana na kuongea na Mwanamke huyo ambaye amesimulia jinsi Mzazi mwenzake alivyomchukua Mtoto mikononi mwake mwaka 2021 na baadaye kudai Mtoto ameenda kusoma nchini Marekani hadi mwaka huu Familia ya Juliana ilipofuatilia na kubaini Mtoto yupo hapahapa Dar es salaam ingawa Marekani anaendaga tu kutembea wakati wa likizo. “Mwezi January mwaka huu tumekwenda Ustawi wa Jamii na dawati la jinsia Polisi wakatusaidia nikaenda Shule anaposoma Mwanangu kumuona nimeumia Mtoto hanikumbuki kabisa kuwa Mimi ni Mama yake, hili jambo limenisababishia hadi niugue msongo wa mawazo (Depression) nikapelekwa Hospitali, kwa sasa tumeambiwa twende Mahakamani ila naumia Mtoto wangu mwenyewe kwanini niteseke, Rais Samia, Waziri Gwajima, Watanzania mnisaidie” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
101
23
531
91K
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Kuna Hizi Biashara Watu wanazichukulia poa lakini Kuna Hela Nyingi. 1. Biashara ya Kuuza Furniture na Vitu vya Ndani. 2. Biashara ya Kuuza Nguo za Wanawake na Watoto. 3. Biashara ya Urembo na Vipodozi kwa Wanawake. 4. Biashara ya Kununua Boda Boda na Kuwapa watu kwa Mkataba. 5. Biashara ya Cash Point kwa Maeneo ya Watu wengi. 6. Biashara ya Kuuza Vyakulaa. Biashara Gani Nyengine Ni Nzuri kufanya Hapaa Mjini..?
Indonesia
17
21
144
12.1K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
MTU ANAKWAMBIA NIMEFANYA CHECKUP YA MWILI MZIMA , KWA SH 30,000/= , HIVI UNAKUWA UPO SERIOUS KWELI 😄 Watu wa vijijini wanaliwa sanaa hela kupitia hio michezo sasa hivi mpaka elf 15 na wanatembea vijiji vyote
Indonesia
13
13
184
16K
Honama Furniture
Honama Furniture@noreformsno·
@kasesco_tz Ety FREE WILL alaf kweny two options ukichagua nyingineyo asiyoipenda atakuadhibu, then nini maana ya free will
Indonesia
0
0
0
5
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi ilikuaje akaamua kumtoa mwanae afe kwaajili yetu..? Kwanini asingemuua tu shetani yakaisha yote! Sometimes sielewi kabisa 🤔
Indonesia
70
46
294
23.2K
Fellian Lumba
Fellian Lumba@FellianL·
@noreformsno @millardayo Kwenda Marekani nijambo jingine na kuingia leba kuzaa nijambo jingine yafaa mtoto awenahaki ya kumjua mama pamoja na wajomba zake kwa maslahi yake ya wakati ujao Tuache ujinga uskute hajatoa hata mahari na uskute baba wa mtoto nae kazaliwa na sgle mother shida hapa ni maadili
Indonesia
1
0
2
640