Benedicto Mahendeka
5.3K posts

Benedicto Mahendeka
@officialben94
MZUMBE UNIVERSITY ALUMNI/ HUMAN RESOURCE/SIMBA SPORTS/ARSENAL THE GUNNERS/ DISCIPLINE AND CONSISTENCY

Kwamba Tanzania nzima hatuna WASOMI mpaka tunaenda kuchukua hawa VILAZA na kuwapa WIZARA waongoze wasomi? Hivi huyu kweli anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani? Waziri gani ambaye ni Form Four Failure? Waziri gani ana certificate 3 na zote ni za online? Waziri mwenye certificate ndio ataongoza wizara ya ajira? Atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira? Waziri gani ana udaktari wa mchongo wa kupewa? Samuya kaamua kutafuta Form Failure wenzake awajaze ndani ya serikali haramu maana hapendi wenye akili KUBWA anajua watamchallenge. Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze. Ni kama tupo zama za MAWE.




Hili Tukio ni Mwanza Lakini hawa wazee wasio jiheshimu wanasema ni AI au Gaza Mnatetea vipi mambo kama haya na uzee wote huo? Hii biashara mwachieni Kabudi sababu ameoza ubongo, Kabudi anafikiria hivyo vyeo ni kila kitu alimuita Magufuli jina la Mungu Sasa mpumbavu kama huyu anawatiaje kwenye mashimo sababu anawinda cheo na pesa za Samia ?

HAPA ni GAZA kwa mujibu wa MaJAJI WAKUU wa HOVYO Chande na Juma MUHIMILI wa MAHAKAMA UMEKUFA💔🥹

HAPA ni GAZA kwa mujibu wa MaJAJI WAKUU wa HOVYO Chande na Juma MUHIMILI wa MAHAKAMA UMEKUFA💔🥹

Benki ya Standard Chartered imeratibu mkopo wa pamoja wa $2.33 bilioni (TZS trilioni 6.07) kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania.

Video clips zinazosambaa za mauaji ni za Gaza na sio Tanzania - TUME Tamka neno kwa hawa wapuuzi


Video clips zinazosambaa za mauaji ni za Gaza na sio Tanzania - TUME Tamka neno kwa hawa wapuuzi













