Mhasibu App ni jukwaa la uhasibu la kidijitali ambalo limeundwa kwa biashara ndogo ndogo, za kati na kubwa kwa ufanisi kusimamia rekodi zao za fedha. Kwa kuendeshea kazi za uhasibu kiotomatiki kama vile ufuatiliaji wa mapato na gharama,ankara,mahesabu ya kodi na taarifa za fedha
Malkia wa Live Performance, Queen herself, anakukaribisha kwenye Sugar with Valentine Warehouse!
Tarehe 14 tukutane Warehouse, tupate burudani ya kiwango cha SGR,Event yenye ubora wa hali ya juu! Usipange kukosa!
Kujaribu kunitenganisha mimi na Nandy saa hii ni kujichekesha 😂
Tarehe 14 mimi na mpendwa wangu tutakuwa pale Warehouse Arena kwenye SugarWithValentine kupata burudani ya kimataifa na African Princess 👸
Imajini Vyombo vinakuwa ON, Mbele ya Stage anasimama Princess wa Africa, mwenye sauti yenye Milindimo ya kina cha Bahari......
Inaanza Chalazwa "Nagusa gusa"🎶 kupitia 👇🏽
~One Day🎶
~Wasikudanganye🎶
~Hazipo🎶 mpaka "Kivuruge"🎶
Baada ya hizo zote unafikishwa kwenye "SUGAR"🎶 wewe hautamani Mkuu???
Hapo bado sijaisemea "Daah"....Oyaa Usiku wa Wapendanao Eneo ni moja tuu 👊🏾 {WARE-HOUSE ARENA}
Naanza kuzichanga nauli sasa "Songwe to Dar" ni Chap😅
NB: ni Live Pafomansii, hakuna mambo ya PlayBack hapa
Kwahiyo Nandy kwenye show yake siku ya valentaini dei ameamua kuwe na meza ya milioni mbili, milioni moja na kawakumbuka watu wa elfu hamsini.
Kwanini hajasema chochote kuhusu watu wa laki moja?
Sugar with ur Valentine ndio mtoko pekee siku ya Valentine, Karibuni wote tuburudike na watu tuwapendao, Live Performance kali kuwahi kuiona Tanzania.
Don’t Plan to Miss, Karibuni Sana🎁🌹🔥
The African Princess @officialnandy will be Lite-ing up the stage at the ultimate #SuperiorSets on November 30. Stay locked in cause it’s gonna get cold🥶
Get your tickets now via Nilipe App.