Othman Masoud Othman
941 posts

Othman Masoud Othman
@othmasoud
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa. Makamu wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar.
Zanzibar West, Tanzania Katılım Mart 2021
38 Takip Edilen13.2K Takipçiler

Nimeipokea kwa huzuni na masikitiko makubwa, taarifa ya kifo cha Ndugu yetu Bwana Abdulghany Himid Msoma, kilichotokea Mei 23 2026, akiwa matibabuni Nchini India.
Nachukua fursa hii kutoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu, Ndugu, jamaa na marafiki.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amin!

Indonesia

Leo Jumamosi ya Mei 16 2026, nimejumuika na wananchi na Viongozi mbali mbali wakiwemo, Wasomi na Wanataaluma Mashuhuri, Mabalozi na Wanadiplomasia Wanaowakilisha Mataifa yao mbali mbali hapa Nchini, Wawakilishi wa baadhi ya Vyama vya Siasa, Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi, Viongozi wa Dini na Watu Maarufu, katika Kongamano Maalum la Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatma ya Nchi yetu, lililoandaliwa na chama chetu cha @ACTwazalendo na lililofanyika hapo katika Hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam.




Indonesia

Leo Mei 03 2026, nimeshiriki na kuongoza nikiwa Mwenyekiti wa Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Chama chetu cha @ACTwazalendo, huko katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema, uliopo ndani ya Jengo la Maalim Seif, Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Magomeni Jijini Dar es Salaam.




Indonesia

Leo Aprili 26, 2026, nimepata fursa ya kuhudhuria nikiwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Ngome ya Vijana wa Chama chetu cha @ACTwazalendo, huko Wete Kaskazini Pemba, lililobeba maudhui ya " Uchumi wa Zanzibar ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar" , ambalo limekuja sambamba na Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanzania.




Indonesia

Leo Aprili 25, 2026, nimepata fursa ya kuhudhuria nikiwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa mkutano mkuu wa jimbo la Pandani Kaskazini Pemba, ikiwa ni Uzinduzi rasmi wa mikutano mikuu ya majimbo ya Zanzibar, ambayo ni sehemu ya mikakati ya uimarishaji wa chama chetu cha @ACTwazalendo




Indonesia

Leo Aprili 13, 2026, nikiambatana na Mwenyekiti Mstaafu wa chama chetu cha @ACTwazalendo Ndugu Juma Duni Haji, tumekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola na Rais Mstaafu wa Malawi, @LAZARUSCHAKWERA.




Indonesia

Jumanne ya Februari 24, 2026, nilipata fursa ya kukutana na Wananchi wa Mikoa ya Kichama ya @ACTwazalendo ya Kaskazini A na B, katika ziara ya kuwajulia-hali Wazee, Wagonjwa na Watu wanaokabiliwa na matatizo mbali mbali, yakiwemo ya kiafya na Wasiojiweza, huko Mkoa wa Kaskazini Unguja.




Indonesia

Leo Februari 12, 2026, nimepata fursa ya kuzungumza na Viongozi wa chama chetu cha @ACTwazalendo , wa mkoa wa kichama wa Wete na Micheweni, Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, huko Wete Kaskazini Pemba.
Huo ni muendelezo wa Ziara yetu ya kutana na Viongozi wa chama chetu, na kuwaeleza muelekeo wa Mazungumzo yanayoendelea ya kutafuta Suluhu ya kudumu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar.




Indonesia














