Hasta la Victoria siempre
5.5K posts


VIDEO:
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Adbul (Diamond Platnumz) ameilalamikia Serikali ya Tanzania kuwa imewekeza nguvu kubwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu huku ikiudharau muziki na kuukumbuka kwenye kampeni pekee.
Ameeleza hayo leo Machi 31, 2026 kwenye mahojiano maalum na kituo cha Wasafi FM akieleza kuwa muziki unapuuzwa sana na hata ushauri wa ujenzi wa Arena kaa ajili ya matukio makubwa ya kimziki haufanyiwi kazi pamoja na kwamba ni muhimu sana.
"Wanaweka nguvu sana kwenye mpira ila kwenye mziki wana dharau sana mshikaji wangu sisi tunaonekana tu kwenye kampeni yani hapo tupo 'serious' ila baada ya hapo ila baada ya hapo miundombinu aaah" amesema Diamond Platnumz
Indonesia

@Elsukay0 Msalimie mwambie arudi kwao sasa muda umeenda
Indonesia

@ShijaDenis Uko sahihi kabisa natumia izo cm,hii bei gn
Filipino

@muandazi 29-31/10/2025 ni zaidi ya iyo yako,yako cha mtoto sana
Filipino

@AbroadTanzania facebook.com/share/v/1DzLT2…
Ila WAAJEMI wametupa EID/IDD njeeeeema mwaka huu🤭🤭🤭☕️.

































