@SimbaSCTanzania Timu ya kipumbavu sana hii unatoa sare unashangilia kweli? Mangungu atawaongoza mpaka achoke mwenyewe anajua kucheza na akili zenu 🤣🤣🤣🤣
Leo time nimesimama kwenye daladala pembeni yangu walikaa wadada wawili wafanyakazi wa ofisi X . Sasa mmoja akawa anamwambia mwenzie changamoto anazopitia kazini , guess what ?
Yule mwenzie alimtia moyo hadi akampa bible verse akasome kutoka 14:14 i lk this kind of friendship
Anaitwa Ester Martin Peter cheo Mnadhimu wa Kambi (Resident Sergeant Major – RSM) huyu ndio aliyeongoza siku ya Leo kumvua nguo na kumzalilisha Katibu wa Jimbo la Ilala Elizabeth.
Na kwa maelezo ya ELIZABETH huyu ndio alieamuru kupigo kwa yule kijana aliefariki nje ya MAHAKAMA.
REPOST 400 🚨🚨
Clatous Chama ametambulishwa mchezoni baada ya Aziz ki kuomba mabadiliko, kwa dakika chache alizokuwa uwanjani amebadilisha ubao kutoka 3-0 hadi 5-0
Amefunga dakika ya 73 amefunga tena dakika ya 82, uso wake hauoneshi furaha sana bila shaka kuna ujumbe anautuma
Mwamba anahitaji dakika nyingi zaidi
@azamtvtz Habari, malipo ya Tsh 28000.0 yamekamilika 212916574247. Kubadili piga *150*50*5# au 0784108000: Pakua AZAMTV MAX; Android bit.ly/3ULviev, iOS apple.co/3uEaY3q.
Hiyo hapo massage nililipia kifurushi cha Sh28000 halafu mnanambia mnipe kifurushi cha Sh19000/= wizi