Sabitlenmiş Tweet

Leo hii tumeanza rasmi shamrashamra za maadhimisho ya miaka 25 ya PASS Trust, miaka ya mafanikio kuwezesha ukuaji na kubadilisha maisha ya watanzania kupitia mageuzi ya sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi.
Asante kwa kuwa sehemu ya safari hii pamoja nawe.
#Miaka25NaPASS #Kilimo




Indonesia


























