Master🅱

3K posts

Master🅱 banner
Master🅱

Master🅱

@petermussatz

Tanzania Katılım Eylül 2020
509 Takip Edilen2.4K Takipçiler
Salym
Salym@salymdev·
@petermussatz Safii, inaitwaje hiyo?? i can do some research
Indonesia
1
0
1
205
Master🅱
Master🅱@petermussatz·
@houseformovies Ukisoma hii kesi ya Yellow Card V Michael Nyamwero Mahakama umeongea vingi kuhusu crpto NB:Sheria sio maandiko yalitungwa na Bunge hata maamuzi ya Mahakama ni Sheria
Filipino
1
0
0
17
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Good morning Pixel 7a + GB 128 fingers kweny kioo Camera umeme Clean 310,000Tsh Piga 0627464863
Real Nigger tweet mediaReal Nigger tweet mediaReal Nigger tweet media
English
3
16
64
3.5K
Dkt.Musa Buzelengule
Dkt.Musa Buzelengule@musabuze·
@gabyconscious . Hizo SMS 11 Zina mgawanyiko huu 6 - Ntakucheki 1-Una group la WhatsApp la wateja? 3. -Canva Pro ni Nini? 2. -BlueTick Mbali na Ads nadhani Inahitajika mbinu ya Kuuza kwa Wabongo na WhatsApp Marketing
Dkt.Musa Buzelengule tweet media
Indonesia
3
1
10
908
Master🅱 retweetledi
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Kama hauna pesa ya kulipia tool za kutengenezea content za blog, YouTube automation na Facebook monetization Kuna hii software nitakupa bure kama unahitaji tu →Repost →Comment " Facebook monetization" →Nakutumia DM PS: Hakikisha unaitumia vizuri huwezi kukosa hela
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Filipino
125
77
142
7.5K
Akhun_graphix17
Akhun_graphix17@akhun_graphix17·
Hapo kwenye Capcut unaweza kutumia pro features bila kulipia na ukaexport kazi yako Ongea na watu vizuri kijana 🤌
J,Ngassa@Jacksonngassa_

@gabyconscious 😂😂😂 Mimi Nilijaribu YouTube Automaton Nikashindwa Kwa Sababu ya SUBSCRIPTION ya Ai Elevenlab CHARTGPT Pro Leonard Capcut Canva + Quality ya PC Hii yangu Nilikuwa Nikifungua Tu Capcut Kasheshe Zote hizi Credit za Bure Haziwork Ila Ni Mchongo kweli Unawaingizia Pesa Wat✊

Filipino
2
0
1
66
ALLY MSANGI
ALLY MSANGI@ally_eh·
I made that in 2025. Just me with my laptop chumbani kwangu na bundle la Airtel Tanzania. Mna mnanga @mafolebaraka bure tu. It's possible sana tu.
ALLY MSANGI tweet media
English
33
16
125
57K
Master🅱
Master🅱@petermussatz·
@bohny_chengula Kuna master plan ya nadhani reversed 2016 imeongea yote hayo lakini waziri ni kama hasomi
Filipino
0
0
2
404
Boniface Chengula
Boniface Chengula@bohny_chengula·
People have good thoughts about this country aisee. Listen to him as he addresses about how foleni zinaweza pungua.
English
83
109
808
58.4K
Master🅱
Master🅱@petermussatz·
@Thommunkondya Hapo hakuna upinzani wa kisiasa,suluhisho ni serikali kufuata sheria za ulipaji fidia walizoziandika wenyewe Kutokufuata sheria kwa serikali ndio tatizo,upinzani hauna shida yoyote hapo
Indonesia
0
0
0
17
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Ni kweli kabisa Mheshimiwa Makamu, miji yetu mingi haikupangwa vizuri. Hali hii imesababisha makazi holela, miji kupoteza mvuto wake, na zaidi ya yote kuwa na ugumu mkubwa katika usambazaji wa huduma za kijamii kama maji, umeme, gesi, pamoja na changamoto katika shughuli za uokoaji pindi majanga yanapotokea. Hata hivyo, kwa mtazamo wangu, licha ya uzembe wa kihistoria wa kutopanga miji mapema, bado kuna changamoto nyingine inayokwamisha juhudi za maboresho hususan upinzani wa kisiasa wakati wa utekelezaji. Ukweli ni kwamba kupanga upya mji ambao tayari umejengwa kunahitaji fidia kwa wananchi watakaohamishwa. Na katika mchakato wa fidia, malalamiko hayaepukiki. Kwa bahati mbaya, baadhi ya wanasiasa hutumia malalamiko hayo kama mtaji wa kisiasa, wakihamasisha upinzani dhidi ya miradi badala ya kushirikiana kuboresha utekelezaji ili taifa lipate matokeo chanya. Ndiyo maana mara nyingi Serikali huogopa kufanya “urban redevelopment” ya kina kama ilivyofanyika katika mji wa Paris miaka ya 1850 na badala yake huchagua njia zenye gharama nafuu kama urasimishaji wa makazi. Lakini urasimishaji peke yake haujabadilisha muonekano wa miji yetu kwa kiwango kikubwa zaidi ya kuwapatia wananchi hati miliki. Mfano halisi ni mradi wa viwanja 20,000 mwaka 2003 ulioibua maeneo kama Mbweni, Bahari Beach, Kibada, Gezaulole na Tegeta. Inasemekana zaidi ya shilingi bilioni 20 zilitumika, huku upimaji wenyewe ukiwa takribani bilioni 1 tu na kiasi kingine kilikuwa ni fidia. Hata hivyo, hadi leo bado kuna malalamiko ya fidia katika baadhi ya maeneo hayo. Hii inaonyesha kwamba changamoto si fedha pekee za fidia bali uungwaji mkono wa upinzani kutoka kwa viongozi wa kisiasa. Kwa mtazamo wangu, kupanga mji upya katika maeneo yaliyojengeka tayari kunahitaji fedha nyingi ambazo hutumika kulipa fidia jambo linaloweza kupunguza migogoro lakini inaweza kutafsiriwa tofauti na wapinzani kama matumizi mabaya lakini je kwa mtazamo wako ipi ni njia sahihi unadhani italeta matokeo bila malalamiko kwa wananchi wala hasara kwa serikali.?
John Heche@HecheJohn

Hii ni hoja ya muhimu sana, fikiria Dar na bahari yake, Fikiria Tanga, Fikiria Mwanza na ziwa lake na milima ikiwa imepangwa yangekua maeneo bora sana ya kuishi hapa Duniani.

Filipino
20
1
9
3K
Master🅱
Master🅱@petermussatz·
Habari wakuu natafuta kazi nipo Dar Es salaam,kazi yoyote ya usafi,usaidizi dukani au ufundi,naombeni msaada 0755248929
Indonesia
0
0
0
242