Chelsea_the_blues

12.6K posts

Chelsea_the_blues banner
Chelsea_the_blues

Chelsea_the_blues

@pichunate

God heals the broken hearts

Tanzania Katılım Mart 2020
216 Takip Edilen247 Takipçiler
Chelsea_the_blues retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kifo cha MC PILIPILI mpaka leo kinachunguzwa. Kushambuliwa kwa Risasi Mh Lissu 2017 Mpaka leo tukio linacgunguzwa. Kutekwa kwa SATIVA 2024 mpaka leo uchunguzi na UWINDAJI wa utekaji tena unaendelea. Kiufupi HILI NI JESHI LA UCGUNGUZI usio na majibu.
Indonesia
16
90
509
6.8K
Chelsea_the_blues retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nyie ambao hamna bundle la kuandika ‘Free Ninja,’ we see you! Na haina shida. Lakini shida haina adabu!🙏🏽 Free Ninja Now!!
Indonesia
7
329
864
9.1K
Chelsea_the_blues retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Nchi hii imekuwa uwanja wa mauaji huyu anaitwa James Temba alitekwa jijini Dar mwili wake umeonekana Tabata kwenye mtalo wa maji ukiwa hauna kichwa.
Twaha Mwaipaya tweet mediaTwaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
48
138
491
24.9K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama yeye kasoma degree ya mambo mbalimbali huko Pakistan. Sasa angalieni CV ya huyu kilaza mwenzake aliyemteuwa kuwa Naibu Waziri haram wa ajira, hivi kweli huyu anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani? Waziri haram anacertificate 3 na zote ni za online halafu vyuo vyote alivovitaja kwenye CV yake hata ukiingia google kuvitafuta havipo isipokuwa kimoja tu maana yake yuko na Certificate za kununua pale Karikakoo kwa Machinga wa vyeti vya Taalum.😂 Kwamba Waziri haram mwenye certificate za mchongo ndio ataongoza wizara ya ajira? Mtu kama huyu atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira? Waziri gani ana udaktari wa mchongo ule wa kununua kama ule wa Babu Tale? Nduli Idd Amin Mama kaamua kujaza vilaza wenzake ndani ya Serikalini haram maana hapendi kabisa maana watu wenye akili maana anajua watamchallenge. Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze halafu hapa mtegemee nchi itasonga mbele.🚮🚮🚮🚮
Hilda Newton tweet media
Indonesia
40
74
312
23.6K
Chelsea_the_blues retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hongera sana DCI Ramadhan Kingai kwa kufiwa na Mama yako Mzazi, hayo maumivu ambayo unapitia ndo familia nyingi tulipitia Oktoba 29 baada nyinyi kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi. Tena wewe unaafadhali maana umeweza kumzika Mama ako kwa heshima huko Bumbuli Tanga, sasa wenzako tulizika nguo kwasababu nyinyi mliiba maelefu ya miili ya ndugu zetu, mkaenda kuzika kwenye makaburi ya Halaiki. DJ niwekee ile nyimbo ya Hakuna Mungu kama wewe Baba 😂😂😂
Hilda Newton tweet media
Indonesia
33
155
1.1K
42.3K
Chelsea_the_blues retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
22
347
1.3K
42.8K
Chelsea_the_blues retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tunajali haki na maslahi ya Ninja kwakuwa ukamataji wake ni wa kiholela. Na tunalitaka jeshi la polisi kumuachia mara moja. Free Ninja Now!!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
12
428
1.1K
15.4K
Chelsea_the_blues retweetledi
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Free him now.
MfinaWiiiseeee tweet media
English
0
244
390
5K
Chelsea_the_blues retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Usiwafanyie watu mabaya tu, bali pia usiwatamanie mabaya mioyoni mwako. Maana dunia ina mzunguko—unayotenda au kutamani kwa wengine, nayo hukurudia. Chagua wema kila wakati. 🙏
Indonesia
56
208
919
16.5K
Chelsea_the_blues retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Mke ni kama ua, si mtumishi—mhudumie kwa upendo, heshima na huruma. Ukimtunza vizuri, nyumba nzima huchanua. 🌸 Juma Kareem
117
330
2.2K
57.3K
Dr. Dorothy Gwajima
Dr. Dorothy Gwajima@Dr_DGwajima·
Mkakati huu unaoshirikisha wadau wa sekta kadhaa, umezinduliwa tarehe 29 Aprili, 2026 na Mhe. Paul Makonda (Mb) mwenye miwani kwenye picha ambaye ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Wananchi pia wanalo eneo lao la utekelezaji kwenye ngazi ya familia kuhusu suala zima la malezi na makuzi ya watoto. Viongozi wa dini nao wanahusika kwenye kulea roho zetu, wanahabari nao wanahusika kwenye ubora wa habari, content creators nao wamo. Kifupi, kila mdau amechambuliwa na kupewa majukumu yake.
Dr. Dorothy Gwajima tweet media
Indonesia
83
14
65
11.3K
Chelsea_the_blues retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Asante sana wakili msomi Mwabukusi Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu 😁 #FreeTunduLissu NOW 👊🏽🔥
Indonesia
27
328
1.3K
22.6K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨MBONA WAMEMKURUPUSHA LISSU NA KUMTOA GEREZANI KINYEMELA‼️ Jamani angalieni Lissu hata hajachana nywele wamemwamsha na kumkurupusha! Wamembeba na gari waliong’oa plate nunber na kwa siri Hawakutaarifu mawakili wake This is not right! Kulikuwa na emergency gani ? Hii ni hatari! Lissu appears disheveled and hurried in today’s clandestine transfer to court without his lawyers being notified! Something is fishy! Hii haikubaliki! Hatuoni good intention hapa! Msirudie tena au tutajua mnataka kutekeleza nia ovu #FreeTunduLissu NOW!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
43
232
883
42.2K
Chelsea_the_blues retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
‼️MUHIMU SANA‼️ Tafadhali unga mkono wito huu wa dharura wa kupitia upya, kumvua sifa, na kumuondoa Mohamed Chande katika jukumu lake la kitaalamu ndani ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, pamoja na kuanzisha uchunguzi huru nchini Tanzania. Kwa mshikamano na watu wa Tanzania waliotayarisha mawasilisho haya, tunatoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu, mashirika ya kiraia, harakati mbalimbali, na kila anayejali ukweli, haki na uwajibikaji kusimama na kuongeza jina lake kwenye barua hii. Tunakataa kukubali ukimya, upotoshaji na hali ya kutowajibika mbele ya mauaji ya halaiki. Hatuwezi kuruhusu walioko madarakani kubadili simulizi au kuondoka bila kuwajibishwa. Haki haitolewi bure—hupiganiwa kwa pamoja na kwa uthabiti. Ongeza sauti yako, unga mkono barua hii, na uwe sehemu ya msukumo unaodai ukweli, uwajibikaji na matokeo halisi. Pitia na Uunge Mkono Hapa: bit.ly/DisqualifyChan… Mwisho wa muda: Jumamosi, tarehe 2 Mei
Indonesia
10
124
612
20K