piplost
2.9K posts

piplost
@piplost_
Converge your pain into wisdom
Zanzibar Katılım Ekim 2020
37 Takip Edilen85 Takipçiler

@daxMAGA @millardayo Bro ata pemba wakiristo wako wengi sana wacha Zanzibar
Indonesia

#PICHA Kutokea Kanisa la ZICC Kariako Visiwani Zanzibar mamia ya Waumini wa Dini ya Kikiristo wamejitokeza kwa wingi kwenye Ibada ya Sikuku ya Pasaka ,Ibada ambayo imeongozwa na Askofu Dickson D. Kaganga.
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia

@MkulimaKante Tumia pesa uingize zaid pesa huchuma pesa na nguvu huchuma maradhi
Filipino

Hili kanisa pesa wanayo nchi nzima wamemwaga mabango yao ya kulipia
Blessed Tillah (MBARIKIWA)@TillahBlessed
Mwanza 📍
Filipino

@Joy_Mbura Niliwah kuwambia watu ukiona biashara za miguu ya kuku,chango za kuku, ngozi za ngombe, huu ni umasikin na ugumu wa maisha kupitilza mitaani sasiv watu wanakula tu chochte wasife njaa ila mitaani hali ni tete alafu wahuni wanakwambia uchumi umekuwa Tz
Indonesia

@Joy_Mbura Kwni nyinyi muna nin na wapemba wali wafanya nn mbona munawakimbiza kwao kiholela
Indonesia

Hela kidogo unataka uanze kulea Watu mdogo wangu 🤣🤣
HAPPNES MLAY@Happinesmlay
Una mapaja mazuri niyapake asali alafu nitambae kama nyoka😋
Indonesia

@EmmanuelMa30199 @zoetjesheeftX Ni mungu akitaka kukuoa bas na km sku yako haijafka
Indonesia

@zoetjesheeftX Si mwanajeshi tu, huyu ni askari kamili, mpiganaji anayejua namna ku ishi katika hali zote ngumu, embu fikiria tu upo kwenye nchi ya ngeni Jeshi lao linakuhandama kutumia technologia , Jeshi, na raia wao. Na bado anaweza kuwakwepa kwa zaidi ya siku tatu akiwasiliana na waokoaji
Indonesia

@incrediboss Na mwanamke bora waibiwe mbusu wanaweza kuvumilia kulko makalio
Polski

PEMBA TASTE to the world 😋

Suleiman El-Abriy 👨🏾🍳@abriy_suleiman
The secret is in the spice 🔥🌿 Pika kwa ladha halisi ya Zanzibar ukitumia Curry Powder ya Pemba Taste. Ongeza harufu, na ladha ya kipekee kwenye kila mlo 🍛 📞 +255 774 105 389 📲 @PembaTasteProducts #PembaTaste2026 #Spiceshop #CurryPowder #OrganicSpices
English


Kauli hii ya KIPUMBAVU inashusha hadhi ya Ndoa na Mwanamke. Mapenzi si “show” ya kununuliwa kwa iPhone, ni wajibu wa kiungu unaojengwa kwa upendo na heshima. Ukianza kujenga ndoa kwa zawadi, ujue umeiweka rehani.
Leo iPhone, kesho akipewa G Wagon nje anakuuza bila hata huruma. Ndoa si biashara, ni agano. Ukilifanya soko, usishangae bei ikipanda na wewe ukauzwa. Achaneni na hizi INJILI za Tik Tok.

Indonesia

@AmRosalinee Waswahili ni wabinafs na wachoyo mnoo kuna watu humu wana ku follow uki wa follow back alafu wanasubr umelala tu wana ku unfollow
Indonesia

Kuhudhuria vikao kumemuokoa mwanetu
Mchekeshaji Khaby Lame alifunga ndoa ya kiislamu 2024 na Wendy 🇮🇹
Mwaka huu mke wake akaomba talaka na kugawana mali 😳
Mahakamani ikaonekana Khaby hana mali kwa jina lake (vyote kwa jina la baba yake) 👏🏿😂
Mke akiwa na $10M kwenye account 😭
Matokeo: wakagawana — Khaby kapata $5M 💰🔥
Hii dunia ina mambo 😅👏🏿

Indonesia

.@ikulumawasliano wanaruhusu picha hizi rais anapiga na matapeli, wanaoidhalilisha ikulu na kuishushia hadhi yake, halafu watu wakiripoti kuhusu picha hizo tcra wanakuja kufungia vyombo vyao vya habari. @bmachumu, kwa nini mnafanya hivi, huyu tapeli ana biashara gani na ikulu?
Dr. Miguna Miguna@MigunaMiguna
What does this obese Zimbabwean, Wicknell Chivayo, do for African despots? Why are his images with African tyrants all over the place?
Indonesia


























