Posta Tanzania

2.6K posts

Posta Tanzania banner
Posta Tanzania

Posta Tanzania

@posta_tz

Ukurasa rasmi wa Shirika la Posta Tanzania. Posta Tupo Kivingine | Twen’zetu Kidijitali

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2016
38 Takip Edilen2.6K Takipçiler
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
📍Kasulu, Kigoma 🗓️ 10 Machi, 2026 📌Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kagondo wakifurahia Madawati waliyokabidhiwa na Shirika la Posta Tanzania leo tarehe 10 Machi, 2026 katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
24
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
📍Kasulu, Kigoma 🗓️ 10 Machi, 2026 📌Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu ambaye ndiye mgeni rasmi akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo Bw. Ferdinand Kabyemela leo tarehe 10 Machi, 2026 katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
37
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
📍Kasulu, Kigoma 🗓️ 10 Machi, 2026 📌SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LAKABIDHI MADAWATI SHULE YA MSINGI KIGONDO KAMA SEHEMU YA KURUDISHA FADHIRA KWA JAMII
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
11
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Shirika la Posta Tanzania kupitia Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Bw. Ferdinand Kabyemela aliyemuwakilisha Postamasta Mkuu Bw. Macrice Mbodo limekabidhi madawati 100 kwa Shule ya Msingi Kigondo iliyopo katika Halmashauri ya Mji Kasulu, Mkoani Kigoma.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
18
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Msaada huo ni sehemu ya sera ya Kurudisha fadhira kwa jamii na juhudi za kuunga mkono juhudi na mipango ya Serikali ya kuboresha Elimu kwa kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
10
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Madawati hayo yalikabidhiwa rasmi kwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
16
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Mwakisu, alilishukuru Shirika la Posta kwa mchango huo wenye tija na kuwataka walimu pamoja na wanafunzi kuyatunza madawati hayo ili yaweze kudumu kwa muda mrefu na kuwanufaisha wanafunzi wengi zaidi.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
18
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Aidha, alieleza kuwa msaada huo utachangia kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuongeza ari ya wanafunzi katika masomo, jambo litakalosaidia kuinua kiwango cha ufaulu shuleni hapo.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
8
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
wa upande wake, Bw. Kabyemela aliwahimiza wanafunzi kutumia fursa ya kuboreshwa kwa mazingira ya kujifunzia kwa kujituma zaidi katika masomo, kudumisha nidhamu na kuonyesha utii kwa walimu wao ili kufikia malengo na ndoto zao za maisha.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
11
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Alisisitiza kuwa elimu ndiyo msingi wa mafanikio na kuahidi kuwa Shirika litaendelea kushirikiana na jamii katika kuchangia maendeleo ya sekta ya elimu.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
7
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Naye, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kigondo, Bw. Adam Masendeka, ameushukuru uongozi wa Posta kwa msaada huo na kueleza kuwa kabla ya kupokea madawati hayo shule ilikuwa na upungufu wa jumla ya madawati 268, hivyo msaada huo utasaidia kupunguza changamoto ya uhaba wa madawati
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
12
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
“_Leo mmetupa Furaha ya Moyo (Ikidolidoli Kumtim_a)”alisema Bw. Adam Akimaanisha wanayo furaha ya moyoni ambayo ningumu kueleza kwa maneno.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
33
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Hafla ya makabidhiano hayo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, viongozi wa Shirika la Posta Tanzania, viongozi wa @ccm_tanzania , walimu, wazazi pamoja na wanafunzi.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
13
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
📍British Council, Dar es Salaam 🗓️13 Januari, 2026 📌BARAZA KUU LA 10 LA WAFANYAKAZI POSTA LAFUNGULIWA - USHIRIKIANO, UWAZI NA UWAJIBIKAJI VYAPEWA KIPAUMBELE
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
2
3
72
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta Tanzania, Balozi Meja Jenerali (Mstaafu) Gaudence Milanzi, amefungua kikao cha 32 cha Baraza kuu la 10 la Wafanyakazi wa Shirika la Posta leo tarehe 13 Januari, 2026.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
2
3
50
Posta Tanzania
Posta Tanzania@posta_tz·
Akifungua kikao hicho amewataka wafanyakazi na menejimenti kuendelea kuimarisha ushirikiano, uwazi na uwajibikaji ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi na kuchochea maendeleo endelevu ya Shirika.
Posta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet mediaPosta Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
2
30