CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿

2.9K posts

CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿 banner
CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿

CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿

@publicserv2001

single. Tanzanian ,citizen

Arusha, Tanzania Katılım Temmuz 2024
3.5K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Babu Zaburi
Babu Zaburi@BabuZaburi·
Sijui nimwambie au hata unataka? Au nikaushe nisilete unyonge ! Lakini nampenda! Nitamuweza kweli ? Ngoja nijaribu 😂😂😂 moyo unautia majaribuni 😂😂😂🙌🙌
Babu Zaburi tweet media
Indonesia
1
2
10
177
CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿
CHIEF MKAGURU 🇿🇼🇹🇿@publicserv2001·
Mtoto wa kiume unaingia first year chuo wakati wa kureport unapelekwa na dadaako. Ndio maana msishangae Watu wanaenda kufundishwa jinsi ya kuwa wanaume!!😎
Filipino
2
2
18
664
miss.nancy🇹🇿
miss.nancy🇹🇿@she_is_nancy255·
Dada unaona huyo kaka ambae unasema NOT MY TYPE NOT MY TYPE huyo ndo atakupa princess treatment ila huyo mtu wako unaeng'anga'ania atakulaza njaa mwisho aje akuue
Filipino
5
9
34
666
Babu Zaburi
Babu Zaburi@BabuZaburi·
Nikatembee sasa hii hata wanishike kichwa itabakia tu 😂😂
Babu Zaburi tweet media
Indonesia
2
2
7
321
Timber TZA
Timber TZA@Timbertzaa·
Nani wanataka 1000 followers leo tufwatane?
Timber TZA tweet media
Filipino
2
2
9
197
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kwa tafiti zangu za ndani kabisa nimegundua huu mtandao wa X ndio mtandao pekee unaongoza kuwa na pisi kali sana afu wapambanaji kichizi. Wengi ni wanawake warembo wajasiriamali na wanajielewa vibaya mno. Mungu aubariki huu mtandao chimbo la wake bora kabisa📌
Indonesia
15
9
47
812
Kante
Kante@MkulimaKante·
Tunapoendelea kutafuna kuku na kula pilau si vibaya tukamfollow ndugu yetu @sultanAshaban uzuri anafollowback ukimfollow unafaidika pia kwa kupata follow back yake hivo akaunti yako inakua. NB: X akaunti haikui kimiujiza wote tumeanzia sufuri
Kante tweet media
Sultan Amran@sultanAshaban

@MkulimaKante Haya sasa nifanyie promo ya followers ila ni msaada lakini kaka

Indonesia
2
1
3
127
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
HAKIKA LEO UNAPATA FOLOWAZI 100+ 💯 LEO FOLOWAZI NI WENGI SANAA _TUONGEZE FOLLOWERS WETU MUDA HUU. ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back usimuunfollow usiku wa manane📌 Kwa pamoja tutafika 10K. ✍️Repost ili tupate followers wengi wapya🔥🔥
Indonesia
46
23
39
1.1K