pwanifm

44.9K posts

pwanifm banner
pwanifm

pwanifm

@pwanifm

Established in 2001.The # 1 station in Kenyan Coast playing latest hits with unique shows that have a Coastal touch.

Mombasa, Kenya Katılım Eylül 2011
334 Takip Edilen5.8K Takipçiler
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Rais William Ruto amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Mto Mwagodi-Dawida-Mbale-Wundanyi-Bura yenye urefu wa kilomita 55 huko Mwatate, Kaunti ya Taita Taveta. #KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
13
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Rais William Ruto amemteua Kepha Omae kama mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC). #KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
1
17
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Rais William Ruto azindua mpango wa kufufua Reli ya Voi-Mwatate katika Kaunti ya Taita Taveta. #KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
8
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
"Wako katikati ya safari ya kurudi nyumbani. Wanaanga wa Artemis II wamefika katikati ya Mwezi na Dunia. Wataanguka katika Bahari ya Pasifiki karibu saa 8:07 usiku ET siku ya Ijumaa, Aprili 10 nje ya pwani ya San Diego."NASA #PwaniTrends ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
25
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
"Wako katikati ya safari ya kurudi nyumbani. Wanaanga wa Artemis II wamefika katikati ya Mwezi na Dunia. Wataanguka katika Bahari ya Pasifiki karibu saa 8:07 usiku ET siku ya Ijumaa, Aprili 10 nje ya pwani ya San Diego."NASA #PwaniTrends ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
32
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Kwa sababu anawindwa kama ndege wacha hio itakua kama pension yangu sio kwa ubaya. Sote tutakufa, Mimi huko ndio Bread winner na iwe Watembelea kaburi langu baada ya miezi sita si eti after kunizika ndio unisahahu sound yako itapata tabu ssaaaana."Baba Cindy #CodesZaKitaa ^RZ
Indonesia
0
0
0
9
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
"' Itokee Nimekufa Leo, Boss wangu ile salary ya kila weekend igawe tu mara mbili kila Weekend, Set yangu ya Sound ikitoka utakua Wampatia mtoto wangu Cindy hio hela Mpaka Aolewe ama Achanganye na maisha bila ivo watamshenyentha akiwa bado mdogo hapo miaka 6 .
pwanifm tweet media
Indonesia
1
0
0
28
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Mchekeshaji maarufu kutoka Nigeria Emmanuela ameshangaza Wakenya baada ya kupost "Tuko Kadi"huku akiambatanisha maneno hayo na bendera ya Kenya. #CodesZaKitaa ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
21
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
"Mimi kama mpenzi wa mziki wa Tanzania 🇹🇿 wa zamani kinachoendelea kuhusu matonya kukamatwa kwa ubakaji sijui kama ni kweli au sio Kweli ila ni mTanzania mwenzangu naomba nifuatilie nikipata ukweli ninamlipia iyo 10million."Chief God Love asimama na Matonya #CodesZaKitaa ^RZ
pwanifm tweet mediapwanifm tweet media
Filipino
1
0
0
23
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania, Matonya, ameshtakiwa kwa ubakaji mjini Mombasa; ameachiliwa kwa dhamana ya Sh500,000. #CodesZaKitaa^RZ
pwanifm tweet media
Filipino
0
0
0
74
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu apunguza msafara wake wa magari hadi magari 4; maafisa wa serikali wakitakiwa kutumia mabasi wanaposafiri ili kuokoa mafuta. #KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
30
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
DCI WAKO GROUND Maafisa wa DCI wamewakamata wawindaji haramu huko Garissa wakiwa na kilo 200 za Twiga zenye thamani ya shilingi 200,000. #KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm tweet mediapwanifm tweet mediapwanifm tweet mediapwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
23
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Kinyozi kimoja huko Nairobi kinampa Mbavu Destroyer masaji ili kumfanya ajisikie vizuri baada ya kufinywa na Majembe. #PwaniTrends ^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
22
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Mike Sonko asifia juhudi zake za kumaliza kitambi. #PwaniTrends^RZ
Slovenščina
0
0
1
34
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Rigathi Gachagua: Ulinitoa ofisi lakini kunitoa kwa roho ya watu wa Mlima ni kibarua. Ni kama kukata miti ya mugumo na wembe. #SiasaPwani^RZ
pwanifm tweet media
Indonesia
0
0
1
82
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Mpango huu unahakikisha kwamba Kiarie hatalazimika tena kufadhili njia yake mwenyewe anapoendelea kuleta utukufu nchini. #PwaniMwanaspoti ^RZ
Indonesia
0
0
0
1
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Omondi ameapa kuandaa makaribisho ya shujaa kwa Kiarie katika uwanja wa ndege na amejitolea rasmi kudhamini shindano lake lijalo kubwa nchini Misri. "Tutampokea uwanja wa ndege kama shujaa alivyo na tutamuunga mkono Misri," Omondi alisema.
Indonesia
1
0
0
5
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Kelvin Kiarie, ameshangaza taifa kwa kushinda medali ya Dhahabu katika shindano la Kimataifa la Kuteleza( skating) la Cotonou nchini Benin.
pwanifm tweet media
Indonesia
1
0
0
35
pwanifm
pwanifm@pwanifm·
Maafisa wa DCI wamenasa magunia 12 ya sare za mapigano zinazoshukiwa kuwa za Al-Shabaab huko Eastleigh, Nairobi; DCI inaripoti kuwa mizigo hiyo iliagizwa kutoka China na kuwasili katika Bandari ya Mombasa. #KurunziYaPwani ^RZ
pwanifm tweet mediapwanifm tweet mediapwanifm tweet mediapwanifm tweet media
Indonesia
0
0
0
69