Sabitlenmiş Tweet
.
29.3K posts


@ebrahaxel Hapo unakuta ameweka individual instructions CF kuwa man mark midfielder wako 😄
Indonesia
. retweetledi

Marekani imetumia ndege 155 za Kijeshi katika operesheni kubwa ya kumuokoa Mwanajeshi wake aliyekuwa amepotea ndani ya Iran, hatua ambayo imeelezwa kuwa moja ya operesheni hatari na adimu kuwahi kufanywa na Jeshi hilo.
Kwa mujibu wa Rais wa Marekani Donald Trump, akiwa anahotubia leo Aprili 6, 2026, operesheni hiyo imefanyika baada ya ndege ya kivita aina ya F-15E fighter jet kudunguliwa na Iran Ijumaa Aprili 3, 2026, ambapo rubani aliokolewa mara moja huku mhudumu wa pili akibaki amepotea katika maeneo ya milimani.
Aidha, Trump ameeleza kuwa juhudi za uokoaji zilihusisha ndege 155 pamoja na matumizi ya silaha zaidi ya 200, huku Mwanajeshi huyo aliyekuwa amekwama akibaki na bastola pekee kwa ajili ya kujilinda hadi alipookolewa.
Akizungumza katika Ikulu ya White House, Trump alisifu operesheni hiyo akisema ni nadra kufanyika kutokana na hatari kubwa kwa Wanajeshi na vifaa, akieleza kuwa ilichukua takribani saa saba ndani ya anga ya Iran kukamilisha uokoaji huo.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@ZenjiboyZnz @takadini_23 may be watatubless na selection..
ngj tisubirie next Thursday
Filipino

@takadini_23 @ZenjiboyZnz ndo iko ivo selection bado haijawa confirmed mzee kinachoonekana hapo ni chance deal ambayo kila siku unapo log in wanakupa chance moja, means mpaka 9th april utakua na chances 7 za kuspin..
labda baadaye waje watoe ofa ya selection ila kwa sasa bad

Filipino

@rbbr__k @ZenjiboyZnz Ahaa ko apo ntakua nachance deal saba za week hii apo ni pata potea unaweza kupata wakina kibwana😂😂
Filipino

@ZenjiboyZnz @takadini_23 hawajatangaza hio mzee kwa sasa tunasubiria chance deal selection is not yet confirmed
Filipino

@takadini_23 @ZenjiboyZnz hapana sio selection hio ni chance deal ambayo mwanzoni utapewa chances 7 (kila ukilog in since last thursday) kwo jitahid kila siku unaingia ili usikose
Filipino
. retweetledi

@vincentjohn658 @EPESFC hi broo how did you get lee to 104??
kindly share ur training
English

@Roma_Mkatoliki Presenters wa bongo baadhi huwa miyeyusho unakuta msaani anaenda kutambulisha nyimbo yake anaanza kuulizwa maswali unazungumziaje Couple Ya Wema na Whozu Unawaona wapi miaka 5 ijayo 😃
Indonesia

Msanii fulani kaenda radio kufanya interview ya kutambulisha na kupromote wimbo wake maskini ya Mungu anajipambania.
Anafika radio mtangazaji anamuuliza kati ya finale na happy ipi ngoma kali na kwanini😁😁😁
Wanabishana hiyo topic dakika 10 nzima, then anaambiwa haya cha mwisho cha kumalizia kwa fans wako
muda umetutupa mkono!!
Dogo anaishia kusema tu wimbo wangu unapatikana kwenye digital platform zote subscribe!
Tuna industry katili sana😁
Indonesia

Nataka watu wenye kikosi kuanzia 3250 hawa wengine naona hamna kitu kabisa
#Efootball
Indonesia
. retweetledi




















