Ruga Eval

423 posts

Ruga Eval banner
Ruga Eval

Ruga Eval

@ruga_eval

A journalist and a Content Creator

Nanyuki, Kenya Katılım Kasım 2017
54 Takip Edilen297 Takipçiler
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Ruto: Wachaneni Na Afya Yangu William Ruto amewatahadharisha viongozi anaodai hawana ajenda yoyote akisema kuwa yuko tayari kumenyana nao. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
6
6
28
4.6K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Serikali imetakiwa kuimarisha ukaguzi wa mara kwa mara katika taasisi za elimu nchini kufuatia kifo cha mwanafunzi Allan Kipkoech aliyefariki baada ya kuangukia shimo la maji taka katika shule ya wasio na uwezo wa kusikia ya Kapsabet. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
0
1
3
3.6K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
‘Linda Mwananchi’ Kurejea Barabarani Mrengo wa ODM vuguvugu la Linda Mwananchi linasema liko tayari kurejelea kampeni zake. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Filipino
1
20
120
5.2K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Ukosefu Wa Usalama Nakuru Polisi Nakuru wanachunguza kifo cha mwanamume aliyepatikana ameuwawa katika eneo la Baraka. Tukio hilo linajiri wiki moja baada ya mtu mwingine kuvamiwa na kuuwawa katika eneo la Pipeline mjini humo. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
1
1
1
2.2K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Oyuu: Sossion Hawezi Kuchaguliwa Katibu Mkuu wa muungano wa walimu Knut Collins Oyuu amepuuzuliwa mbali hatua ya aliyekuwa katibu wa zamani Wilson Sossion kurejea tena kwenye muungano huo. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
0
1
1
3.3K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Mtoto Anajisiwa Shuleni Kerugoya Wazazi Kirinyaga wanataka uwajibikaji katika taasisi zinazohudumia watoto walio na ulemavu baada ya kesi ya unajisi inayomhusisha mwalimu wa shule ya wasio na uwezo wa kuskia ya Kerugoya kufikishwa mahakamani. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
1
7
7
1.9K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Serikali Kutumia Nishati Ya Jua Serikali ya kitaifa imeamua kutumia nishati ya jua katika miradi ya maji eneo la Lower Eastern ili kupunguza gharama kubwa ya umeme kusukuma na kusambaza maji. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
0
2
8
2K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Ligi Kuu Ya FKF-WPL Ulinzi Starlets wailaza Zetech Sparks 3-0 Starlets washikilia nafasi ya kwanza katika jedwali ya WPL #NTVSpoti @ruga_eval
Polski
0
1
0
1.3K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Gofu: Njoroge Kibugu Atuzwa Njoroge Kibugu atuzwa shilingi milioni tano kwa matokeo bora katika mchuano wa Magical Kenya Open. #NTVSpoti @ruga_eval
Polski
0
1
1
1.8K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Morocco Mabingwa wa AFCON 2025 Bodi ya rufaa ya CAF yaamua Morocco ndio washindi Senegal kuondoka uwanjani kulivunja sheria za CAF Senegal kukata rufaa dhidi ya matokeo hayo ya CAF #NTVSpoti @ruga_eval
Indonesia
3
3
14
3.4K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Sherehe Za Eid Mombasa Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wamehitimisha leo mfungo wao wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika sehemu mbalimbali, wakikusanyika kwa swala ya Eid ul-Fitr. #NTVAdhuhuri @bugufatuma @ruga_eval
Indonesia
0
1
11
1.6K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Waumini Wa Kiislamu Washerehekea Eid Jijini Nairobi, waumini wa dini ya Kiislamu wamemiminika kwa maombi ya Ijumaa wakitamatisha mfungo wa Ramadhan. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
0
1
3
1.3K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Ruto Awafokea Wapinzani Rais William Ruto amelaumu upinzani kwa kuendeleza siasa za kikabila. Ruto: Wanazunguka nchi na kusababisha migongano #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
0
1
15
3.5K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Rais Apata Watetezi Nairobi Baadhi ya viongozi wa Nairobi wamejitokeza na kumtetea Ruto baada ya rais na upinzani kufokeana hadharani. Viongozi hao wasema rais alikuwa na kila haki ya kuwajibu. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
1
1
4
2K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Upinzani Waendelea Kumkosoa Rais Baadhi ya viongozi wa upinzani wamemkosoa Rais Ruto wakisema hana mamlaka ya kimaadili ya kuwataja wengine kuwa wauaji iwapo hajatoa ushahidi kortini na kumkosoa kuhusu hali ya usalama wa nchi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
1
11
36
4.4K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Oluga: Mfumo Wa Afya Kubadilishwa Serikali ina mpango wa kuunda upya mfumo wote wa afya nchini. Katibu wa afya Daktari Ouma Oluga amesema Kenya imetegemea zaidi usaidizi kutoka nje na wakati umetimia wa Kenya kujisimamia. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
0
2
1
1.7K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Oyuu Asifiwa Na Knut, Nairobi Muungano wa walimu nchini, Knut, tawi la Nairobi, umeapa kumuunga mkono Katibu Mkuu Collins Oyuu katika uchaguzi wa viongozi utakaofanyika Aprili 3 mwaka huu. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
1
1
9
3K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Vitambulisho Kutolewa Bila Malipo Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alibaini kuwa usajili wa mara ya kwanza wa vitambulisho nchini utaendelezwa bila malipo hadi 2027 kufuatia agizo la rais linalolenga kuimarisha usajili wa wananchi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Indonesia
2
3
5
3.1K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Serikali Kuimarisha Sekta Ya Uvuvi Serikali imetangaza kuimarisha sekta ya uvuvi kupitia ufadhili wa kifedha ili kukuza mchango wake kiuchumi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Suomi
0
1
1
1.6K
Ruga Eval retweetledi
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Maseno Kusherehekea Miaka 120 Shule hiyo iliyofunguliwa milango yake mwaka wa 1906 imekuwa mstari wa mbele kuendeleza masomo nchini na kuongeza maarifa kwa maelfu ya Wakenya na kuendelea kukuza viongozi. #NTVAdhuhuri @ruga_eval
Filipino
0
2
2
1.8K