MASTERMIND

2 posts

MASTERMIND

MASTERMIND

@sako_mm

Mastermind

Tanzania Katılım Haziran 2025
33 Takip Edilen2 Takipçiler
MASTERMIND
MASTERMIND@sako_mm·
Imefika hatua watanzania wanawambia watanzania wenzao kwa uchungu "Serikali yako imewaua watanzania wenzetu wasio na hatia" mbaya sana hii, dalili mbaya sana ya nchi kupasuka
Indonesia
0
0
0
9
MASTERMIND
MASTERMIND@sako_mm·
@Roma_Mkatoliki Hebu fikiria Mtanzania ambae amewahi kuwa kiongozi wa Serikali na kwenye Chama tawala (CCM), ambae ana recognition na respect mpaka kwenye vyombo vyetu vikuu vya ulinzi na usalama na bado anatekwa kirahisi na anajeruhiwa kiasi kile, Mnadhani ni kawaida? Vipi Mimi na wewe?
MASTERMIND tweet media
Indonesia
0
0
0
136
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Ukitazama documentary nyingi na ukifatilia cases nyingi za 🇺🇸 mpaka lifestyle yao. Utagundua majamaa kwenye matukio mengi sana wanapenda ku-solve individually zile za One man Aaa!! Hata South kwa Madiba wanapigaga sana hizo One man Aaa shows!! Hawategemei cha Taasisi, wala Organization wala chama kiungane kiamue! Yani zile za homeboy HAMZA zile ndio mbanga zao!! Sisi kwetu unakuta mtu mmoja tu anatuendesha mwaka wa 10 anatumaliza tu…..tunangoja taasisi hadi ziungane!! Na ni mtu anafikika kabisa na anajulikana! Hatunaga INDIVIDUAL MORALI!!
Indonesia
58
196
1.5K
51.6K