Salbena Honey

500 posts

Salbena Honey banner
Salbena Honey

Salbena Honey

@salbenaproducts

Organic Honey 🍯 | Bringing the Best of Nature to Your Table | Sustainably Harvested 🌿 | Taste the Difference 🐝 Eat Healthy Stay Healthy. 0655 459259

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2018
241 Takip Edilen185 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Salbena Honey
Salbena Honey@salbenaproducts·
Leo ni siku yako ya Ushindi. Chakufanya 1. Tuambie asali iliyopo kwenye bahasha ina ujazo wa kiasi gani 2. Follow account za salbena honey Twitter na instagram 3. Screenshot ukiwa umefollow 4. Tuma jibu lako ukiwa umeambatanisha na screenshot za kurasa zetu ulizofollow
Salbena Honey tweet media
Indonesia
3
21
24
3.9K
White Dove 🕊️
White Dove 🕊️@DoveOfMalyogo·
"Daudi kasema nilikua kijana sasa ni Mzee" 💚🤍
White Dove 🕊️ tweet media
Filipino
83
66
497
31.1K
Salbena Honey retweetledi
Bunny:)
Bunny:)@mizzpickles·
Kula asali kunaongeza siku za kuishi 😊 Kama hii package ni 15,000 tu
Bunny:) tweet media
Eesti
4
31
55
4.1K
Salbena Honey retweetledi
Bunny:)
Bunny:)@mizzpickles·
Utaijuaje asali ya nyuki wadogo 1. Ina rangi ya kahawia iliyokoleza sana inayoelekea kwenye weusi 2. Ni nyepesi sana (haifikii wepesi wa maji) 3. Huwa na povu linalokaa juu ya asali #ElimikaWikiendi
Bunny:) tweet media
Indonesia
2
17
26
2K
Salbena Honey retweetledi
Bunny:)
Bunny:)@mizzpickles·
Kutibu Mchafuko wa tumbo - Kula asali pamoja na mdalasini huweza kuondoa mchafuko wa tumbo na utumbo uletwao na gesi #ElimikaWikiendi
Bunny:) tweet media
Filipino
1
16
28
2K
Salbena Honey
Salbena Honey@salbenaproducts·
Jinsi ya kutibu ukungu mguuni(FUNGUS) Changanya kijiko kimoja cha asali, vijiko viwili vya mdalasini {vya chai}. Pakaa sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Shida yako itakwisha katika kipindi cha wiki moja #ElimikaWikiendi
Salbena Honey tweet media
Indonesia
0
15
28
3.7K
Salbena Honey
Salbena Honey@salbenaproducts·
𝗔𝘀𝗮𝗹𝗶 𝘁𝗮𝗺𝘂 𝗸𝗶𝗴𝗮𝗻𝗷𝗮𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗼. Salbeni Asali tunazidi kutanua wigo wa kukufikia. Nunua asali yetu kupitia application ya Mamboo na ikufikie popote ulipo ndani ya Dar Es Salaam Chagua kiwango kutokana na mfuko wako. Pakua Mamboo Apps ufurahie maisha
Salbena Honey tweet media
Indonesia
2
22
26
2.7K
Salbena Honey retweetledi
Bunny:)
Bunny:)@mizzpickles·
Good morning familia ♥️
Bunny:) tweet media
English
2
11
15
2.1K
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Aiseeee Pumzika kwa Amani 🙏
MIRIAM💜 tweet media
Latviešu
106
68
1.4K
53.7K
Salbena Honey
Salbena Honey@salbenaproducts·
4. Kuua chawa na mayai yake - Paka asali kichwani vizuri halafu jifunge kitambaa wakati wa kulala, asubuhi osha na maji ya moto #ElimikaWikiendi #AsaliTips
Indonesia
1
3
5
404
Salbena Honey
Salbena Honey@salbenaproducts·
𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗺𝗮𝗺𝗯𝗼 𝗺𝗮𝗸𝘂𝗯𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗔𝘀𝗮𝗹𝗶 1. Huondoa kujikuna - Weka asali kwenye kikombe halafu vaseline na mafuta ya waridi jipake sehemu inayowasha #ElimikaWikiendi #AsaliTips
Indonesia
1
9
11
624
𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿
Monday For Adult Juice 🥤 🍆 Mchanganyo 👇🏾 Asali Karanga Mbichi 🥜 Nazi 🥥 Ndizi mbivu 🍌 Korosh Maziwa 🥛 Tende Kunywa kwa Wiki Mara Mbili Furahia Maisha 🥂🍾🥤🥤
𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 tweet media𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 tweet media𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿 tweet media
Indonesia
33
52
114
12.8K
Salbena Honey retweetledi
Bunny:)
Bunny:)@mizzpickles·
Una maumivu ya vidonda vya Tumbo? Tumia asali kutoka @salbenaproducts itakusaidia Kupunguza Gesi na kulinda kuta za utumbo. Tuna Asali ya Nyuki wadogo inafanya kazi vizuri. Jipatie 500g kwa Tsh 15,000 📞 0735459259 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Bunny:) tweet media
Indonesia
2
29
32
2.4K
Mtoto wa mama
Mtoto wa mama@Ria__chelsea·
Baraka ya kwanza ni kuamka ukiwa na afya njema 🙏Goodmorning family
Indonesia
67
68
163
6K