Salim Abdallah

392 posts

Salim Abdallah banner
Salim Abdallah

Salim Abdallah

@salim_tryagain

▪️Board Chairman - @simbasctanzania

Tanzania Katılım Aralık 2021
7 Takip Edilen145.7K Takipçiler
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Insha’Allah huu utakuwa mwaka wetu wa mafanikio makubwa barani Afrika. Tuna kila sababu ya kushinda ubingwa huu. Hii Tunabeba.
Indonesia
8
14
195
3.5K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Tumevuka kwa kishindo.
Salim Abdallah tweet media
हिन्दी
18
52
1K
8.6K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Balozi amenihakilishia kwamba tayari Ubalozi umefanya maandalizi ya kuipokea timu yetu jambo ambalo linatupa matumaini ya kwenda kufanya vizuri. Kwa niaba ya Rais wa Klabu ya Simba namshukuru sana Mhe. Balozi pamoja na maafisa wa Ubalozi.
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
0
0
7
1.2K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Kabla ya kuondoka Cairo kurejea nyumbani Tanzania, nilipata nafasi ya kutembelea Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Misri. Nilikutana na Balozi pamoja na maafisa wa Ubalozi kubadilishana mawazo pamoja na maandalizi ya awali ya mchezo wetu ambao unatarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025.
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
5
13
311
5.3K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Nikiagana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino baada ya mazungumzo mafupi katika hoteli ya Marriott iliyopo Giza karibu na zilipo pyramid. Tuko hapa Cairo, Misri kushiriki Mkutano Mkuu wa 14 wa CAF (The CAF 14th Extraordinary General Assembly).
Salim Abdallah tweet media
Filipino
11
17
616
7.4K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Fernandes kabla ya kuingia katika uongozi aliwahi kuwa mchezaji katika vilabu kadhaa ikiwepo Manchester City, Leicester City, Sporting CP, Saint-Étienne Udinese na Eintracht Frankfurt inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani. @GelsonFernandes
Salim Abdallah tweet media
Suomi
0
0
6
645
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Nikiwa hapa Cairo, Misri nimepata nafasi ya kukutana na rafiki yangu Gelson Fernandes kutoka Cape Verde ambaye ni Mkuu wa Kanda ya Afrika kutoka FIFA. Ni rafiki yangu wa siku nyingi na hapa tulikuwa tukibadilishana mawazo.
Salim Abdallah tweet mediaSalim Abdallah tweet mediaSalim Abdallah tweet media
Indonesia
3
11
276
4.8K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Nikimpongeza ndugu Souleiman Hassan Waberi ambaye ni Makamu wa Tatu wa Rais wa CAF na Rais wa Shirikisho la Mpira la Djibouti baada ya kuchaguliwa kuwa Mwakilishi wa CAF kwenye Baraza la FIFA (FIFA Council).
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
3
10
249
4.9K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Hongera sana kaka yangu Wallace Karia, Rais wa TFF na CECAFA kwa kuchakuliwa kuwa EXCOM (Kamati ya Utendaji) ya CAF. Ushindi wako ni ushindi wa Tanzania na hii inaonyesha kwa namna gani mpira wetu unazidi kukua. Nakupongeza sana.
Salim Abdallah tweet mediaSalim Abdallah tweet mediaSalim Abdallah tweet mediaSalim Abdallah tweet media
Indonesia
1
1
51
1.9K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Vijana wamepambana na tumeshinda. Hongereni wote.
Salim Abdallah tweet media
हिन्दी
100
21
1.1K
25.3K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Mpinzani wetu robo fainali ya CAF Champions League ni Al Ahly.
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
39
24
762
12.7K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Haukuwa mchezo mwepesi lakini vijana wamepambana. Hongereni wote.
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
97
20
966
18.8K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Mungu ni mwema sana. Hongereni wote kwa ushindi.
Salim Abdallah tweet mediaSalim Abdallah tweet media
Indonesia
30
30
1.2K
15.4K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania, Mwenyezi Mungu ibariki Simba Sports Club na Insh’Allah leo ikawe siku ya furaha kwa Wanasimba na Watanzania kwa ujumla.
Indonesia
22
13
315
6.5K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Mwenyezi Mungu akupumzishe mahala pema mzee wetu.
Salim Abdallah tweet media
HT
4
10
516
7.6K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Huu ni utangulizi wa kazi ya Jumamosi. Mchezo huo ni muhimu zaidi kwa sasa kuliko jambo lolote. Tunajiandaa kwa kila namna ili kushinda.
Salim Abdallah tweet media
Filipino
54
19
679
12.4K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Mechi ya mwisho nyumbani Tanzania itakuwa zaidi ya fainali. Kila shabiki ajiandae kwa mchezo huo muhimu.
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
76
31
1K
17.1K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Tunamkimbiza mwizi kimyakimya.
Salim Abdallah tweet media
Filipino
45
22
802
28K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Hakuna kukata tamaa hadi dakika ya mwisho. Hongereni wote.
Salim Abdallah tweet media
Indonesia
16
12
707
7.7K
Salim Abdallah
Salim Abdallah@salim_tryagain·
Matokeo ambayo kila Mwanasimba alikuwa anahitaji. Hongereni wote.
Salim Abdallah tweet media
Filipino
10
24
934
8.7K